Nitaanza na ushahidi wa akili najua maandiko hutayakubali, kwanza logical kukirudisha kitu upya ni rahisi kuliko kukiunda wakati hakikua kina exist, pili, uwepo wa mbingu, ardhi na umbaji wa viumbe ni logical lazima atakuwa yupo alieviumba na ndio yeye atakuwa na uwezo wa kuvirudisha baada ya kuvifisha.
Akili iliyo salama haiwezi kukanusha kuwa uwepo wa Mungu, kwakuwa hii nidham ya kimaumbile haiwezi kuwa imekuja from no where. So lazma atakuwepo aliumba na ndie atake mrudisha mtu badala ya kufa.
Sasa niletee ushahidi kuwa tukifa ndio mwisho wa kila kitu.