#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

Mkuu kwanza sio kweli kuwa Quran imeshuka kwa ajili ya wasaudi tuu au kwa ajili ya waislamu pekee. Quran ni kwa ajili ya viumbe wenye akili. Wote mimi , wewe na wengine.
Aliyekuambia kuwa Qur'an imeahushwa kwaajili ya wasaudia Nani halafu mbona haujibu maswali unayoulizwa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Una uhakika gani katika hao waliotengeneza chanjo hakuna wanaumini? Then Allah anamtumia amtakae yoyote kwakuwa yeye ndie anaewamiliki.
Huyo muumini katoa chanjo katika Qur'an??? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sayansi Ni uwanja mpana unaogusa kila nyanja ya maisha ya mwanadamu so Kama Qur'an imeshidwa kutoa majibu ya dawa za magonjwa mbali mbali hiyo Qur'an ilikuwa Inazungumzia sayansi gani !??

Swali langu kwako je umeshawahi kusikia kwamba huu mfumo fulani wa sayansi tunaoutumia Sasa ni mfumo ambao umewahi kutoholewa katika Qur'an Kama jibu Ni hapana Sasa hiyo Qur'an ilikuwa inaongelea sayansi gani mbona kimekuwa nikitabu Cha uongo kiasi hicho

Swali langu kwako je Ni sahihi kukifuata kitu Ambacho Ni kidanganyifu
Qur'an si kitabu cha sayansi bali kuna maelezo yaliyo kwenye Qur'an ambayo hukubaliana na sayansi. Halafu hata kitabu kikiwa cha Sayansi haina maana kina tiba,kwani kuna vitabu vingapi vya sayansi mbona bado kuna magonjwa hayana tiba? sasa hiyo akili ya kutaka Qur'an iwe na tiba ya corona kisa kwenye Qur'an kuna maelez ya sayansi umepata wapi hiyo akili?
 
Na sio lazima chanjo iletwe na Quran hata ukileta wewe sisi tutatumia Mkuu dini yetu haijakataza as long as ipo salama.
Marekani ina support haki za mashoga... na baadhi ya watoa misaada ni mashoga vpi muumini kupokea msaada kutoka kwa watu wa aina hyo![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaha huyo aliekuambia Quran ni kitabu cha dawa nan Mkuu!!! Unajua huku kwenye internet kumejaa takataka sasa kama huna uwezo wa kuhakiki taarifa ambazo unazosikia au kuzisoma, I can not help you with that.
Sayansi maana yake Ni gunduzi mbali mbali Sasa kitabu kinavyosema kwamba kinaongelea sayansi halafu kinashindwa kuleta gunduzi mbalimbali katika jamii tunapaswa kukionaje/ kukitafasiri vipi ??
 
Umeshindwa kuthibitisha now unaanzaje kuhubiri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuthibitisha nini, uwepo wangu mimi na wewe bado haujatosha kuwa kama ni evidence?
 
Kuthibitisha nini, uwepo wangu mimi na wewe bado haujatosha kuwa kama ni evidence?
Hautoshi kwani aliyekuambia ili Mimi na wewe tuwepo ni lazima kuwe na uwepo wa Mungu Nani !? Mbona umekarilishwa vibaya
 
Unaelewa maana ya sayansi ..tuanzie hapo kwanza [emoji16]
Hahahaha , yaani ukijibiwa huku unaenda huku. Mkuu kajipange tena na maswali ya maana. Sio lazima ukubaliane na majibu ninayo kupa.
 
Hahahaha , yaani ukijibiwa huku unaenda huku. Mkuu kajipange tena na maswali ya maana. Sio lazima ukubaliane na majibu ninayo kupa.
Hujajibu swali sijui unafahamu Hilo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Msimamo wa serikali Ni upi ??

Wewe jamaa hivi uko sawa kweli
Hahahaha hapa hatuzungumzii serikali, hata kama ndio msimamo wa serikali hakuna alilazimishwa kufuata.
 
Back
Top Bottom