Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao waumini nao hawafanyi madhambi?mbona unahoja za kitoto.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitajie kampuni gan ya kimarekani inatoa chanjo ambayo haitambui haki za mashoga!!!
Ili kuondokana kutumia vitu vya kikafiri ndio maana sis tuna hoji kwann Allah ameshindwa kuwaonyesha na kuwapa waumini wake kipawa cha elimu ya kugundua chanjo... Ila anawapa makafiri tu.
Hahahaha, hata kama wanatambua sie hatujakatazwa kutumia chanjo. Mkuu uislamu ni system kabisa. Pia hawatoi bure ni biashara.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitajie kampuni gan ya kimarekani inatoa chanjo ambayo haitambui haki za mashoga!!!
Ili kuondokana kutumia vitu vya kikafiri ndio maana sis tuna hoji kwann Allah ameshindwa kuwaonyesha na kuwapa waumini wake kipawa cha elimu ya kugundua chanjo... Ila anawapa makafiri tu.
Rudia kusoma nilichoandika mwisho nmesema aliyeleta quran?Kwani Qur'an ni kitabu cha tiba?
Kwahiyo tunakubaliana kwamba Mungu nae ana Mungu wake !?Kwasababu haiwezekani kitu kutoka from nothing
Ndugu yangu Hawa watakuchosha [emoji3][emoji3]Rudia kusoma nilichoandika mwisho nmesema aliyeleta quran?
Hahahaha mtazame vile, wewe ndio hio type na huyo mshkaji wako.Ndugu yangu Hawa watakuchosha [emoji3][emoji3]
Ni type Yale watu waliotajwa kwenye Qur'an Yao
Wanamacho lakini hawaoni Wana masikio lakini hawasikii Hawa wamesha kunywa maji ya bendera hata uwe na fact za kiasi gani watakubishia tu sometimes maswali hawajibu yaani unawapa hoja halafu wao wanakuja kujibu hoja nyingine kabisa tofauti na kile ulichokiuliza [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] Mungu anazidiwa akili na watu wa shetani halafu ana jiita Ni mjuzi wa yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitajie kampuni gan ya kimarekani inatoa chanjo ambayo haitambui haki za mashoga!!!
Ili kuondokana kutumia vitu vya kikafiri ndio maana sis tuna hoji kwann Allah ameshindwa kuwaonyesha na kuwapa waumini wake kipawa cha elimu ya kugundua chanjo... Ila anawapa makafiri tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja waanze kukuzungusha had upate kzunguzunguKwahiyo tunakubaliana kwamba Mungu nae ana Mungu wake !?
Ok kwahiyo umeachana na Qur'an sasa umemgeukia aliyeleta Qur'an?Rudia kusoma nilichoandika mwisho nmesema aliyeleta quran?
[emoji3][emoji3][emoji3] wewe jamaa siumesema hakuna kinacho exist bila uwepo wa chanzo Sasa Huyo Mungu wako atakosaje chanzo Cha uwepo wake mbona mnadesturi wa kujibu maswali magumu kwa wepesi hivyoHapana, Allah hana mwenza yupo peke yake, muumbaji wa kila kitu. Ila visivykua yeye haviwezi kuwa vimekuwa vyenyewe tuu, ama kaviumba yeye au vimetokana na aliemuumba yeye
Eti kanijibu hapana allah yeye ndiye muumbaji wa kila kitu Hana chanzo yaani kamaliza hivyo yaani bila ithibati na anataka niamini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja waanze kukuzungusha had upate kzunguzungu
Naam exactly mkuu agiza Pepsi naja kulipaHapo ndipo tujuwe dini ni imani tu, corona haina dini bana...
Kama ingekuwa tofauti basi isingefanya fujo?!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watu waovu kawaandalia moto. Pia anawatumia watu atakavyo yeye mwenyewe
Ushaambiwa Mungu ni mmoja tu sasa hiyo ya Mungu kuwa na Mungu wake linatoka wapi?Kwahiyo tunakubaliana kwamba Mungu nae ana Mungu wake !?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] msinichoshe ngoja nikale mie watu gani mnabishana tu bila logicHahahaha mtazame vile, wewe ndio hio type na huyo mshkaji wako.
Thanks bro, cheers..👌Naam exactly mkuu agiza Pepsi naja kulipa
Watu waliopita mfano wako, walitaka watolewe ngamia kutoka katika jabali na walipotolewa pia haikuwasaidia kitu.Eti kanijibu hapana allah yeye ndiye muumbaji wa kila kitu Hana chanzo yaani kamaliza hivyo yaani bila ithibati na anataka niamini [emoji3][emoji3][emoji3]