Maridhiano kuhusu vifo au mauwaji?Agenda ya Chama chakavu cha mauaji ni kuleta maridhiano baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000
Kesho Chama chakavu cha mauaji kinaenda kumhidhinisha spika wa bunge na Waziri mkuu
Tundu Lissu ataachiwa J5. DPP atafuta kesi
Leo wamewaachia viongozi wa Chadema bila masharti ili kuonyesha baada ya kuwapa kesi fake za uhaini
Chama chakavu cha mauaji CCM kimeuwa Watanganyika wasio na hatia wengi wakiwa vijana, watoto, wanawake
Chadema mlianzisha movement nzuri ambayo sisi wananchi tuliipokea na inaenda vizuri, tunakaribia kupata nchi yetu Tanganyika
Chadema mkikubali maridhiano Kwa kununuliwa nitawadharau mnoView attachment 3499957
Agenda ya Chama chakavu cha mauaji ni kuleta maridhiano baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000
Kesho Chama chakavu cha mauaji kinaenda kumhidhinisha spika wa bunge na Waziri mkuu
Tundu Lissu ataachiwa J5. DPP atafuta kesi
Leo wamewaachia viongozi wa Chadema bila masharti ili kuonyesha baada ya kuwapa kesi fake za uhaini
Chama chakavu cha mauaji CCM kimeuwa Watanganyika wasio na hatia wengi wakiwa vijana, watoto, wanawake
Chadema mlianzisha movement nzuri ambayo sisi wananchi tuliipokea na inaenda vizuri, tunakaribia kupata nchi yetu Tanganyika
Chadema mkikubali maridhiano Kwa kununuliwa nitawadharau mnoView attachment 3499957
Sidhani kama inawezekana tena kwa walio pitia na walipo fikia.Chadema wakilamba asali tunakufa nao hao wapumbavu
Vijana wetu wafe halafu wao watuletee upumbavu wa maridhiano
Kweli. Lakini watu zaidi ya 10,000.Wewe ni mgeni hapa Tanganyika?
Tena hayo majadiliano yawe liveKatiba mpya
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi urudie
Huu uchafuzi wa mwaka huu umetupa viongozi haramu
Mkuu unahisi ni watu wangapi watakua wameuwawa?Kweli. Lakini watu zaidi ya 10,000.
You can imagine!!
Huwa hakunaga maridhiano ya mtawala na mtawaliwa, wafanye yote hayo ili waachie madaraka? UnaotaKatiba mpya
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi urudie
Huu uchafuzi wa mwaka huu umetupa viongozi haramu
Hapo kwa ccm wanawaza namna ya kutoa nusu mkata kama Zanzibar walivyofanya.Huwa hakunaga maridhiano ya mtawala na mtawaliwa, wafanye yote hayo ili waachie madaraka? Unaota
Hakuna hicho. Huko zenj bado miaka yote wanalia, unapewa inakua geresha tu unakua huna mamlaka yoyoteHapo kwa ccm wanawaza namna ya kutoa nusu mkata kama Zanzibar walivyofanya.
Hapo ndo vuta nikuvute sasaHakuna hicho. Huko zenj bado miaka yote wanalia, unapewa inakua geresha tu unakua huna mamlaka yoyote
Pili kwa sasa hilo huku hakiwezekaniki, labda uchaguzi urudiwe(jambo ambalo nalo hakiwezekani)