Misimamo wetu ni ule ule hatutaki maridhiano na CCM wauaji

Misimamo wetu ni ule ule hatutaki maridhiano na CCM wauaji

Terms za maridhiano ni hizi
1. Katiba mpya ndani ya miezi 18
2. Uchaguzi huru utakaoambatana na tume huru ya uchaguzi kabla hata ya 2029/30
3. Kuwajibishwa kwa waliohusika na mauaji ya raia October 29 na siku kadhaa mbeleni.
4. Uchunguzi huru wa mamia ya watu waliopotea, kutekwa na kuuwawa katika mazingira tata ya kisiasa kuanzia mwaka 2015.
5. Kuachiliwa huru kwa wafungwa wote wenye kesi za kisiasa au zitokanazo na siasa na kesi hizo kufutwa.
6. Kukubali usaidizi huru kutoka nje kwa viongozi wastaafu wa Africa wanahoshemika mfano Thabo Mbeki ili kutengeneza mazingira ya maridhiano kuaminika.
 
Agenda ya Chama chakavu cha mauaji ni kuleta maridhiano baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000

Kesho Chama chakavu cha mauaji kinaenda kumhidhinisha spika wa bunge na Waziri mkuu

Tundu Lissu ataachiwa J5. DPP atafuta kesi

Leo wamewaachia viongozi wa Chadema bila masharti ili kuonyesha baada ya kuwapa kesi fake za uhaini

Chama chakavu cha mauaji CCM kimeuwa Watanganyika wasio na hatia wengi wakiwa vijana, watoto, wanawake

Chadema mlianzisha movement nzuri ambayo sisi wananchi tuliipokea na inaenda vizuri, tunakaribia kupata nchi yetu Tanganyika

Ili tufikirie maridhiano tunataka
1. Katiba mpya
2. Tume huru ya uchaguzi
3. Uchaguzi urudiwe

Chadema mkikubali maridhiano Kwa kununuliwa nitawadharau mnoView attachment 3499957​
Bila kuchoka
 
Back
Top Bottom