Watawala walikuwa huko enzi za ukoloniSisi hatutaki watawala tunataka viongozi
Mkuu hapo kwenye uchaguzi inabidi uitishwe ndani ya mwaka mmoja,huyo mzanzibar hapasi kuwepo ikulu Hadi 2030,na baada ya kukaa pembeni, akabidhiwe Hague,uholanzi Kwa uharifu dhidi ya binadamu.Terms za maridhiano ni hizi
1. Katiba mpya ndani ya miezi 18
2. Uchaguzi huru utakaoambatana na tume huru ya uchaguzi kabla hata ya 2029/30
3. Kuwajibishwa kwa waliohusika na mauaji ya raia October 29 na siku kadhaa mbeleni.
4. Uchunguzi huru wa mamia ya watu waliopotea, kutekwa na kuuwawa katika mazingira tata ya kisiasa kuanzia mwaka 2015.
5. Kuachiliwa huru kwa wafungwa wote wenye kesi za kisiasa au zitokanazo na siasa na kesi hizo kufutwa.
6. Kukubali usaidizi huru kutoka nje kwa viongozi wastaafu wa Africa wanahoshemika mfano Thabo Mbeki ili kutengeneza mazingira ya maridhiano kuaminika.
Hapa kuna risk kubwa ya historia kujirudia—stakeholders kupoteza tena muda wao bure!Terms za maridhiano ni hizi
1. Katiba mpya ndani ya miezi 18
2. Uchaguzi huru utakaoambatana na tume huru ya uchaguzi kabla hata ya 2029/30
3. Kuwajibishwa kwa waliohusika na mauaji ya raia October 29 na siku kadhaa mbeleni.
4. Uchunguzi huru wa mamia ya watu waliopotea, kutekwa na kuuwawa katika mazingira tata ya kisiasa kuanzia mwaka 2015.
5. Kuachiliwa huru kwa wafungwa wote wenye kesi za kisiasa au zitokanazo na siasa na kesi hizo kufutwa.
6. Kukubali usaidizi huru kutoka nje kwa viongozi wastaafu wa Africa wanahoshemika mfano Thabo Mbeki ili kutengeneza mazingira ya maridhiano kuaminika.
"GOOD FAITH" hii ndo inafanya hata kinachoitwa maridhiano kisiwe na maana yoyote.Hapa kuna risk kubwa ya historia kujirudia—stakeholders kupoteza tena muda wao bure!
Is the reconciliation being pursued in good faith? Kitu gani kilizuia hilo kufanyika kabla ya uchaguzi? As far as I know, wapinzani na stakeholders wengine walikuwa tayari hata kuahirisha uchaguzi kwa muda ili wakae mezani kuweka mambo sawa!
Wewe ndio unasema hivyo, wao walio madarakani hujiona watawala.Sisi hatutaki watawala tunataka viongozi

Kuvunjwa kwa genge la PolisiTerms za maridhiano ni hizi
1. Katiba mpya ndani ya miezi 18
2. Uchaguzi huru utakaoambatana na tume huru ya uchaguzi kabla hata ya 2029/30
3. Kuwajibishwa kwa waliohusika na mauaji ya raia October 29 na siku kadhaa mbeleni.
4. Uchunguzi huru wa mamia ya watu waliopotea, kutekwa na kuuwawa katika mazingira tata ya kisiasa kuanzia mwaka 2015.
5. Kuachiliwa huru kwa wafungwa wote wenye kesi za kisiasa au zitokanazo na siasa na kesi hizo kufutwa.
6. Kukubali usaidizi huru kutoka nje kwa viongozi wastaafu wa Africa wanahoshemika mfano Thabo Mbeki ili kutengeneza mazingira ya maridhiano kuaminika.
Hayo unazungumza kwa hii serikali ya ccm iliyopo au kuna nyingine?Hayo laZima tuyakatae
Tunataka tupate viongozi walichaguliwa na Wananchi na wakikengeuka wananchi wawe na mamlaka ya kuwawajibisha
TutawasalimiaChadema wakilamba asali tunakufa nao hao wapumbavu
Vijana wetu wafe halafu wao watuletee upumbavu wa maridhiano
We hujui CCM wana hali mbaya saivHayo unazungumza kwa hii serikali ya ccm iliyopo au kuna nyingine?
Mkuu acha kuota, hiko unachotamani hakiji kwenye sahani. Hakuna serikali ya ccm itafanya unachosema.
Bahati mbaya pia haiwezi kuondoka kwa kura(hili umelishuhudia) hata mfe watu laki 1 ,wao wanachojali ni madaraka.
Njia pekee ya kuwaondoa ni mapinduzi