Misimamo wetu ni ule ule hatutaki maridhiano na CCM wauaji

Mkuu hapo kwenye uchaguzi inabidi uitishwe ndani ya mwaka mmoja,huyo mzanzibar hapasi kuwepo ikulu Hadi 2030,na baada ya kukaa pembeni, akabidhiwe Hague,uholanzi Kwa uharifu dhidi ya binadamu.

Tumeshaziminya pumbu za CCM,hatupaswi kuregeza,huyo jini mnywa damu ICC inaiona,hana namna
 
Hapa kuna risk kubwa ya historia kujirudia—stakeholders kupoteza tena muda wao bure!

Is the reconciliation being pursued in good faith? Kitu gani kilizuia hilo kufanyika kabla ya uchaguzi? As far as I know, wapinzani na stakeholders wengine walikuwa tayari hata kuahirisha uchaguzi kwa muda ili wakae mezani kuweka mambo sawa!
 
"GOOD FAITH" hii ndo inafanya hata kinachoitwa maridhiano kisiwe na maana yoyote.
 
Wewe ndio unasema hivyo, wao walio madarakani hujiona watawala.
Hayo laZima tuyakatae
Tunataka tupate viongozi walichaguliwa na Wananchi na wakikengeuka wananchi wawe na mamlaka ya kuwawajibisha
 
Kuvunjwa kwa genge la Polisi
 
Na huo ndo msimamo wetu wananchi, hatuwezi kuridhiana na wauwaji..!!
 
Hayo laZima tuyakatae
Tunataka tupate viongozi walichaguliwa na Wananchi na wakikengeuka wananchi wawe na mamlaka ya kuwawajibisha
Hayo unazungumza kwa hii serikali ya ccm iliyopo au kuna nyingine?
Mkuu acha kuota, hiko unachotamani hakiji kwenye sahani. Hakuna serikali ya ccm itafanya unachosema.

Bahati mbaya pia haiwezi kuondoka kwa kura(hili umelishuhudia) hata mfe watu laki 1 ,wao wanachojali ni madaraka.
Njia pekee ya kuwaondoa ni mapinduzi
 
We hujui CCM wana hali mbaya saiv
Washajua Watanzania wa miaka hii sio wale wa Kupewa tshirts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…