Misimamo yetu wanaume halisi wa Africa

Misimamo yetu wanaume halisi wa Africa

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,208
Reaction score
2,767
Mimi kama mwanaume halisi ninayejua majukumu yangu ni marufuku mke.

1. Uvaaji wa soksi na sedosi unaleta taafasiri mbaya sana.

2. Kujichubua na kutumia aina yoyote ya dawa za kubandilisha rangi.

3. Kunikumbatia au kuleta viashilia vya mahamba mbele ya watu, pamoja na kunishikashika ovyo hadharani.

4. Kuniita ita ovyo mbele za watu.

5. Kuvaa lazima uvae na wax au kanga tena mbili, heshima kubwa katika uvaaji.
 
UNATOKEA MKOA GANI MKUU?
Tuanzie Hapo Kwanza.
 
Hiyo namba 1 navyojua wanavaa hivyo ili wasipate vumbi kwenye miguu yao au tafsiri ipi hiyo unayoijua tofauti na hii? Hizo zingine zote naona ushamba wako tu
 
Mimi kama mwanaume halisi ninayejua majukumu yangu ni marufuku mke.

1. Uvaaji wa soksi na sedosi unaleta taafasiri mbaya sana.

2. Kujichubua na kutumia aina yoyote ya dawa za kubandilisha rangi.

3. Kunikumbatia au kuleta viashilia vya mahamba mbele ya watu, pamoja na kunishikashika ovyo hadharani.

4. Kuniita ita ovyo mbele za watu.

5. Kuvaa lazima uvae na wax au kanga tena mbili, heshima kubwa katika uvaaji.
Hiyo ya tano ni ya kipumbavu sana! kwa hiyo unataka mkeo awe anavaa magaguro? Oli tumpfu[emoji23], Naongezea 5. Masuala ya kubandika kucha na kope bandia kwangu mwiko, pmbv zake [emoji35][emoji35][emoji35]
 
Vyote ulivyoandika vinaakisi tabia yako....ndio maana umejiita shy
 
Hiyo ya kuvaa soksi na sendoz huwa nashangaa sana.
 
Basi kuwa mwanaume ni tabu sana kama hata kuvaa soksi na sandals ni issue
 
sheria zoteeee hizo uwe na hela ndefu sasa babu, hata Kajala anaweza zifata tu.
 
Back
Top Bottom