Tindiga MOJA huyo[emoji1787]Kukumbatiwa hupendi we kweliiii ni mwanzabe
Hiyo ya tano ni ya kipumbavu sana! kwa hiyo unataka mkeo awe anavaa magaguro? Oli tumpfu[emoji23], Naongezea 5. Masuala ya kubandika kucha na kope bandia kwangu mwiko, pmbv zake [emoji35][emoji35][emoji35]Mimi kama mwanaume halisi ninayejua majukumu yangu ni marufuku mke.
1. Uvaaji wa soksi na sedosi unaleta taafasiri mbaya sana.
2. Kujichubua na kutumia aina yoyote ya dawa za kubandilisha rangi.
3. Kunikumbatia au kuleta viashilia vya mahamba mbele ya watu, pamoja na kunishikashika ovyo hadharani.
4. Kuniita ita ovyo mbele za watu.
5. Kuvaa lazima uvae na wax au kanga tena mbili, heshima kubwa katika uvaaji.
Hili ndio la muhimu.Mwanamme kupiga magoti kwa mwanamke ni upuuzi wa kufukuzwa ktk ukoo wetu kabisa