Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kufunga maana yake ni kushinda vishawishiTunefunga jamani unaniharibia swaumu yangu
Niko hapa NyambitilwaUnataka uupige ugali kwa nyama mapema sana.Upo zamu ya kuchunga ng'ombe mkuu hapo Magu?
Wasalimie Nyanzobe na Masota.Niko hapa Nyambitilwa
ZimefikaWasalimie Nyanzobe na Masota.
Bado ugali wa nguvu.
Akimaliza hizo sahani apatiwe na "poti" hapohapo alipo.Asijitikise.
Utaniua kwa kicheko wee jamaaAkimaliza hizo sahani apatiwe na "poti" hapohapo alipo.Asijitikise.
Sasa huo ni ulaji wa wapi?Kama ameamua kutukoga kwa kupiga picha na hizo sahani za "ubeche" sawa.ππππUtaniua kwa kicheko wee jamaa