Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Tutafanya kazi kweli muda huu?Ngoja nisogee sehemu niulize kama kuna upolo-wali ndondo mkuu.ππππ
Mi tayari niko kwenye Easter π£ vibe... sitaki kujitingisha wala kutingishikaTutafanya kazi kweli muda huu?Ngoja nisogee sehemu niulize kama kuna upolo-wali ndondo mkuu.ππππ
Kuna mtoto wangu nikimuonesha hiyo kitu huwa anasema ni vyakula vya Mr.Bean.ππππ
Hadi tufike "siku ya kwanza ya juma" utakuwa umenenepa sana tumbo unacheza na tooth-pick tu.Mi tayari niko kwenye Easter π£ vibe... sitaki kujitingisha wala kutingishika
Hahah hahah mama yangu aligoma kula.... alisema yayaaa natolyagha mashinhu gene ayoKuna mtoto wangu nikimuonesha hiyo kitu huwa anasema ni vyakula vya Mr.Bean.ππππ
Hahah haha najiandaa kufuturu mapemaaaLeo Bujibuji Simba Nyanaume kaamka na njaa
Hiii...haya maamii,lyaga duu!Mboga ina mikasi!πππHahah hahah mama yangu aligoma kula.... alisema yayaaa natolyagha mashinhu gene ayo
Hadi nguvu za kulima shambani!πππView attachment 2183439
Chai ya majani ya mastafeli yanasaidia sana kupambana na kansa
Leo umeamua kutukomesha sana.Hadi naiona Kirumba Valley kwa mbali.
Na kwenye shamba la kuvuna watotoHadi nguvu za kulima shambani!πππ