whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Hii sili hata uniue
Usije ukaonjaHii sili hata uniue
Kufunga maana yake ni kuvishinda vishawishi, sio kuvikimbia vishawishiTUMEFUNGA BWANA MKUBWA unatuharibia swaum🤔🤔
Vumilia, ndio ukubwa
Sasa ndo ututamanishe..! Hujui kama binadam hakuna mkamilifu😏 nkifungulia dhambi unabeba weweKugunga maana yake ni kuvishinda vishawishi, sio kuvikimbia vishawishi
Haha haha hahah nazipeleka wapi dhambi zako sasa?Sasa ndo ututamanishe..! Hujui kama binadam hakuna mkamilifu😏 nkifungulia dhambi unabeba wewe