hakuna usemi mkubwa uliowahi kutolewa na mtanzania zaidi ya ule wa Kikwete "Akili za kuambiwa changanya na za kwako"
Wadosi hawali ng'ombe lakini pia hata ng'ombe hali watuhakuna usemi mkubwa uliowahi kutolewa na mtanzania zaidi ya ule wa Kikwete "Akili za kuambiwa changanya na za kwako"
Hivi kweli mimi unikataze kula chakula flani kisa ugomvi sijui mikataba ya akina flani wa kusadikika, kweli?
mkuu Bujibuji Simba Nyamaume naskia wahindi hawaruhusiwi kula nyama ya ng'ombe, ni kweli?
Kachumbali babu kubwa Fresh kama ya Tukuyu vile!
Jho jhi jhoKachumbali babu kubwa Fresh kama ya Tukuyu vile!