MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Hili libeki lakulia la simba sijui ni la nani yaani majama yanapita halafu linatembea tuu
 
Simba anapigwa paipu, asipo fungwa najitoa jf
 
dakika ya 60 ataingia kichuya na mfumo wa simba utabadilika hapo waarabu wanachoshwa kwanza
 
Back
Top Bottom