MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Simba haiwezi kufurukuta kwa hao jamaa mpira ulishaonekana toka hapa bongo!

KICHWA CHA MWENDAWAZIMU-hii inatokana na kukosa ligi bora,ligi yetu kwa miaka 70 sasa ni Simba na Yanga no more!
 
Simba tupeni raaha kipindi cha pili...almasry yaani washaelekea kibla!
 
waarabu wetu hawa! kuku wako huna haja ya manati unamsubiri jion bandani
 
Ila simba wamepaki basi kweli kweli, kipindi cha pili wakie delea hivi wanafungwa!
 
Tukiwakosa kwao tutakuja wafunga kwetu taifa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Goooooooooooooooo simba inampiga mwarabu![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom