Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Uzalendo kwanzakila la heri AL MASRY
uzalendo itakuwa Bongo??Uzalendo kwanza
waoga balaaIla simba wamepaki basi kweli kweli, kipindi cha pili wakie delea hivi wanafungwa!
Bado, mpira ni mapumzikoMnaongalia bado mpaka sasa hakuna Helua Helua??
Ni kweli! Mpaka sasa refa amejitahidi kwa kweli!Ila refa yupo ‘fair’ kiasi kikubwa
Inatakiwa wasiwe waoga...wawe jasiri kama yanga mpaka wamewatoa wabotswanawaoga balaa