MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Tukirudi baada ya half-time
SIMBA 1 - 0 AL MASRY
Yebo yebo hamuendi kokote, nyie ni viazi!
 
Na kwa taarifa yenu Simba Leo umeme haukatiki na mvua kule hamna kwa hiyo poleni sana kama mliitegemea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kwa taarifa yenu Simba Leo umeme haukatiki na mvua kule hamna kwa hiyo poleni sana kama mliitegemea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu mbila mvua na umeme, wangekula 3 maana tulishawazidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…