Misri atoa onyo kwa HAMAS wana wiki mbili kupata suluhu la mateka, kabla Israel haijaingia Rafah

Kwahio kwenu kupendana ni kule kuambiwa mukabarikiwe?

Hawa watu wa ajabu sana, wanawachukia waarabu, wanaupiga vita Uisilamu.

Hata kwenye afcon wengi wao wanaonyesha wazi ubaguzi, kuwachukia waarabu na kutaka waondolewe kwenye mashindano ili zibaki timu za weusi, hawa walipaswa wakaungane na makafiri wa kizayuni and then Hamas wafanye yao.
 
Makafiri wengi hawajitambui tena imefikia stage wameshindwa kuzizuia chuki zao dhidi ya uislamu na waislamu
 
Kabisa, wana roho za ajabu sijapata kuona, yani hawa acha wajichanganye tu wakawasaidie wenzao mayahudi, watakula vichwa mpaka basi, halafu waanze kulialia ndugu zetu wameuawa na magaidi 😁
 
Hata wakilia hawatakua nala kufanya magaidi dawa yao kuliwa vichwa tu
 
ISRAEL MIJIZI

Robbery as a Political Decision – Israeli Army Robs Bank of Palestine in Gaza

February 11, 2024 Blog, News

Israeli soldiers seized 200 million shekels ($54.29 million) from the Bank of Palestine headquarters in Gaza and the move “was decided at the political level.”

While stealing from their Palestinian victims is a common practice by the Israeli occupation army, the latest robbery of the Bank of Palestine headquarters in Gaza is different, as it was politically motivated, the Israeli army says.

The Anadolu news agency, cited the Israeli newspaper Maariv as reporting on Sunday that Israeli soldiers seized 200 million shekels ($54.29 million) from the Bank of Palestine headquarters in Gaza.
 
Hawa watu wa ajabu sana, wanawachukia waarabu, wanaupiga vita Uisilamu.

Hata kwenye afcon wengi wao wanaonyesha wazi ubaguzi, kuwachukia waarabu na kutaka waondolewe kwenye mashindano ili zibaki timu za weusi, hawa walipaswa wakaungane na makafiri wa kizayuni and then Hamas wafanye yao.
Kwa taarifa yako mwarabu anamuona mtu mweusi kama mtumwa tu.
 
Hapo Rafah ndio ngome ya mwisho ya HAMAS, ila penyewe pamejaa wananchi wengi hivyo kupapiga lazima Wapalesina watakufa sana, Misri imesema HAMAS waharakishe hili la dili ya mateka kabla hapajapigwa maana Israel wakianza, kawaida tumeona huwa hawasimamishwi na yeyote....

Egypt tells Hamas it has two weeks to reach hostage deal before IDF moves into Rafah – WSJ

By LAZAR BERMAN
Egypt warned Hamas that it must reach a hostage-for-ceasefire deal with Israel within 2 weeks, or Israel will move into Rafah, The Wall Street Journal reports.

Cairo is hosting talks on a deal beginning on Tuesday, which Israel, the US, and Qatar will attend.
Hakuna kenge yeyote anayeweza kuwasimamisha wayahudi nasema hakuna
 
Hapo Rafah ndio ngome ya mwisho ya HAMAS, ila penyewe pamejaa wananchi wengi hivyo kupapiga lazima Wapalesina watakufa sana, Misri imesema HAMAS waharakishe hili la dili ya mateka kabla hapajapigwa maana Israel wakianza, kawaida tumeona huwa hawasimamishwi na yeyote....

Egypt tells Hamas it has two weeks to reach hostage deal before IDF moves into Rafah – WSJ

By LAZAR BERMAN
Egypt warned Hamas that it must reach a hostage-for-ceasefire deal with Israel within 2 weeks, or Israel will move into Rafah, The Wall Street Journal reports.

Cairo is hosting talks on a deal beginning on Tuesday, which Israel, the US, and Qatar will attend.
Mbona mapigano Gaza yapo kila sehemu, hata zile ambazo Israel anatangaza amemaliza , Hamas wameendelea kutuma salamu
 
H

Ilianza Oct 7 pale hamas walipofanya shambulizi la kigaidi na kuuwa raia Zaidi ya 1400
Waisrael wamejiua wenyewe kwa wingi, ni sawa na kule Gaza jeshi la anga limeua sana wanajeshi wake kwasababu ya mawasiliano mabovu
 
Kwa hiyo Waisraeli walijishambulia wenyewe sio?!
Mbona basi tuliona video za hamas wakiimba allah akbar huku wakifanya ukatili
 
Back
Top Bottom