Misri atoa onyo kwa HAMAS wana wiki mbili kupata suluhu la mateka, kabla Israel haijaingia Rafah

Kweli hao ni mashetani yaliyolaaniwa, hayana utu wala huruma, ni makatili kuwahi kutokea, kufa haliyakua ni myahudi/kaafir ni hasara sana

Allah atujaalie mwisho mwema!
allah unayemtegemea hana nguvu wala sio Mungu wa kweli, ni mungu muongo na jina lingine la shetani. Mungu wa kweli haitwi allah, ni Mungu wa Ibrahim Isaka na Yekobo (Israel) na ndiye anayewapigania waisrael hadi kesho mnashindwa kuwapiga. tangu muanze kupanua domo mnapayuka kuomba allah alaani mbona hajawahi kuwajibu?
 
Kha,hiyo hela Israel waipeleke wapi,hizo hela kina mayonaise wanazo hapo bongo, IDF za nini kwao
Acheni umbwelambwela.
Kipigo kinaendelea.
 
Vita ya Israel na Hamas urban war nivita ngumu sana kiasi Dunia imesimama kuona muujiza. Iran wanamtamani kiasi risasi moja tu Irani na komoney wao watakuwa mavumbi. Hezbollah ameambiwa aangalie picha za satellite 📡 some kitu Mazayuni wamewafanyia Hamas kisha atafakari kile kitamkuta...🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱 Mpaka sasa Dunia imesha simama waarabu tumbo lakuharisha maana watapotexa tena Ardhi yao kumgus Israel. Kumbuka six day war🇮🇱🇮🇱🇮🇱📡📡
 
Kimsingi namba zinazidi kusoma, sasa tunaelekea 30,000
Wote hao wamewahishwa kwa mabikira.
Achana na porojo Hamas waliokufa hawafiki hata nusu ya wana mgambo wake , hii ni kwa mujibu wazungu wenyewe
 
Mnadanganywa na mazayuni mnadanganyika. Hiyo ngome iko wapi?

Kichapo walichochezea mazayunibhasira zao wanapiga raia Rafah. Ndio zao hizo.

Ngome ya Hamas Imtapakaa Ghaza kote chini ya ardhi, imefika mpaka Misri. Cheza na Hams wewe?


Mazayuni wanatafuta pakutokea tu, ilichobaki wanaendeleza mauaji ya kimbari tu, maoigano na Hamas wameshindwa. hakuna zaidi.
 
Akiripoti kutoka Ghaaaaaazaaaaaaaaa ni yule mwanamama muqawamaaaa Faizaaaaaaaa.......
 
Achana na porojo Hamas waliokufa hawafiki hata nusu ya wana mgambo wake , hii ni kwa mujibu wazungu wenyewe

Mazombi yenu 30,000 yamewahishwa kwa akba akba, mimi sikutegemea mpaka sasa kuna mateka ako hai....
 
Mazombi yenu 30,000 yamewahishwa kwa akba akba, mimi sikutegemea mpaka sasa kuna mateka ako hai....

وَلَا تَحْسَبَنَّ الَّذِينَ قُتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ أَمْوَاتًا ۚ بَلْ أَحْيَاءٌ عِنْدَ رَبِّهِمْ يُرْزَقُونَ
169 Al-'imran(The Family of Imran)
Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi.

فَرِحِينَ بِمَا آتَاهُمُ اللَّهُ مِنْ فَضْلِهِ وَيَسْتَبْشِرُونَ بِالَّذِينَ لَمْ يَلْحَقُوا بِهِمْ مِنْ خَلْفِهِمْ أَلَّا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ
170 Al-Imran
Wanafurahia aliyo wapa Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake, na wanawashangilia wale ambao bado hawajajiunga nao, walio nyuma yao, ya kwamba haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.

يَسْتَبْشِرُونَ بِنِعْمَةٍ مِنَ اللَّهِ وَفَضْلٍ وَأَنَّ اللَّهَ لَا يُضِيعُ أَجْرَ الْمُؤْمِنِينَ
171 Al-Imran
Wanashangilia neema na fadhila za Mwenyezi Mungu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa Waumini

الَّذِينَ اسْتَجَابُوا لِلَّهِ وَالرَّسُولِ مِنْ بَعْدِ مَا أَصَابَهُمُ الْقَرْحُ ۚ لِلَّذِينَ أَحْسَنُوا مِنْهُمْ وَاتَّقَوْا أَجْرٌ عَظِيمٌ
172 Al-Imran
Walio mwitikia Mwenyezi Mungu na Mtume baada ya kwisha patwa na majaraha - kwa walio fanya wema miongoni mwao na wakamchamngu utakuwa ujira mkubwa -
 
Mazombi yenu 30,000 yamewahishwa kwa akba akba, mimi sikutegemea mpaka sasa kuna mateka ako hai....
Hao ni wanawake na watoto sio wana mgambo, leo wanajeshi wa 3 wa Israel wamerudishwa kwenye majeneza
 
Kweli hao ni mashetani yaliyolaaniwa, hayana utu wala huruma, ni makatili kuwahi kutokea, kufa haliyakua ni myahudi/kaafir ni hasara sana

Allah atujaalie mwisho mwema!
Hata wao wanawaona waislamu ni watu waliopotea

Dini hizi ni shida
 
unaandika haya ukiwa unakula na kulala kwenye kiyoyoz ila wapalestina wanalala nje kwenye vumbi wala hujali unaita ukomboz wakat wanapoteza eneo la gaza muda si mrefu , WAISLAM HAMPENDAN KABISA
Keyboard warrior
 
unaandika haya ukiwa unakula na kulala kwenye kiyoyoz ila wapalestina wanalala nje kwenye vumbi wala hujali unaita ukomboz wakat wanapoteza eneo la gaza muda si mrefu , WAISLAM HAMPENDAN KABISA
Wanatakiwa wasipendane hivyo hivyo ili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…