Misri (Egypt) most powerful country in Africa Tanzania we are 17

Misri (Egypt) most powerful country in Africa Tanzania we are 17

Sasa tuwe wa kwanza ili tufanyr nn kwani tunataka pigana na nani. TANZANIA NI KISIMA CHA AMANI watuache hata tukiwa wa mwisho as long as hatuna conflict watuacheeeeeeeeee
 
Hapo kwa nigeria nabisha..why!?? Simply nchi ya 4 lkn imekuwa ikisumbuliwa na boko haram for a de whole decade sasa..sielewii[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Mm nilichofurahi ni kuwa Congo DR inaizidi KDF.
Hahahaaaa...kdf-corrupted army yani wanajeshi walinaswa na camera wanaiba Vitu WESTGATE supermarket Al shabab walipoattack..so stupid[emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Asante kwa Uzi hii taarifa sijui ilikuwa ya miaka mingapi iliyopita nahis kwenye miaka 10 itakuwa imefika . MPAKA LIBYA IMEINGIA TOP TEN NI YA 9 . MWEEEEE. unrest country Libya
 
Back
Top Bottom