Tetesi: Misri ipo mbioni kupokea wakimbizi kutokea Palestina

Itakuwa jambo jema hata nchi nyingine zikijitokeza kuwapokea kwani vinginevyo nadhani dhamira ya israel juu ya wapalesitina sii nzuri sana kwani ndani ya siku chache sana zilizopita wameuwawa wengi sana. Bora tu watoke kwa sasa kuja kurudi ije iwe shughuri nyingine ambayo nayo haitakuwa rahisi
 
Siwezi kubishana na mtu anongea story za vijiweni eti wapelistina waliitwa na yaser Arafat. Palestine ikiwa bristish colony iliitwaje? State of Israel ilikuwa established lini na kwenye ardhi ipi? Mwaka gani kupitia UN resolutions ipi. Unaleta maandiko kwenye Bible ambayo hao waisreal hawaimini hicho kitabu infact Jewish religion resembles more to Islamic religions than Christianity. Eti Palestine ilianza 1967, where do you get your information ni bora kukaa kimya kuliko ku-expose ujinga kama hujui kitu ni bora ukae kimya kuliko kuropoka. Kama unataka kujua historia ya israel ya leo na sio kwenye vitabu Anza kusoma Balfour Declaration ya 1917, hujui hata European walitaka kuwapa jews uganda. Kuwa na utamaduni wakusoma kuliko kukaa kijiweni na kusikiliza porojo. Hujui hata kama waingereza walicha koloni la Palestine baada ya kuwa wanashambuliwa na settlers wakijew. Dig deep why Isrealis ni marufuku kupima DNA. Do you even know the race of the current Jewish state
 
Acha papara jibu maswali yangu!!
 
Acha papara jibu maswali yangu!!
Maswali gani bro, kama hujui hujui tu soma ndio uongee. Kwenye vitabu jews na Arabs wameishi kwa pamajo arab Peninsula. Kwa hiyo anavyo protect your pathetic idea kwahiyo wa Bantu wote chanzo Chao ni western Africa kwa hiyo warudi kwao, wambulu kisa kwa ni hamites warudi horn Africa mbulu na babati sio kwao, wa ngoni sio wa Tanzania kisa walitoka South Africa. Embu note vizuri maswali yako nikujibu kwa ufasaha na nikikujibu yangu. Lakini unaonekana ni mtu shallow sana unaongea vitu hujui, una justify vipi waisrael wa miaka 1000 ni walewale wasasa makabila evolve. Jewish nevertheless a religion rather than ethnicity kwa hata muarabu anaweza kuwa mjew wewe mwenyewe unaweza ukaamuwa kuwa mjew lakini kwa sababu una elimu finyu huelewi hilo
 
Pole sana nafikiri wewe hujui chochote nikuombe tu unijibu maswali yangu ya kwanza maana ndiyo msingi wewe unayoyazusha sasa hivi nitakujibu moja baada ya jingine. Kama hujui niambie nikusaidie
 
Pole sana nafikiri wewe hujui chochote nikuombe tu unijibu maswali yangu ya kwanza maana ndiyo msingi wewe unayoyazusha sasa hivi nitakujibu moja baada ya jingine. Kama hujui niambie nikusaidie
Mbabashaji anajulikana wazi maswali gani nimekujibu maswali yako huna eulewa umebaki ku dwell kwenye upuuzi eti Arafat ndio aleanzisha Palestine 1967. Useless man hata Wikipedia umeshindwa kutumia. Hujui kitu ndio maana umebaki na mawsali ambayo hayana tija. Unabiki kushabikia kitu hukijui, unabaki kujiuliza kwanini wewe maskini, hujui kuwa unmaskini wako umeanzia kichwani jufunze kusoma upate uelewa badala ya kushadidia vitu hujui. Emancipate yourself from mental slavery: Bob Marley. Na hiyo nilio attach utasema ni Ramani katengeza Arafat. This is how Palestine was annexed.
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    63.2 KB · Views: 19
Ngoja sasa nilale na wewe kiulaloulalo!! Kwanza kutumia WIKIPEDIA kama Source of information si sawa maana huko wanaingia Wamatumbi wengi tu wanabadirisha mambo wanaweka wanayotaka wao yawe. Hata mimi naweza kuingia huko na ku-edit chochote kila. Narudia tena wewe ni mjinga umekaririshwa tu nimekuambia unijibu maswali yangu ambayo ni ya msingi umeshindwa na sasa unarukaruka kama maharage jikoni. Nikuulize so-called Palestine annexed alikuwa anatawala Rais,Mfalme,Sultan nani.? Je pesa yao ilikuwa inaitwaje? Shillings,Dollar,Dinar,Shekel??. Je unaijua hii coin ni ya nchi gani?? Nakuomba sana tuliza WENGE nikutoe tongotongo machoni
 

Attachments

  • IMG_1595.jpeg
    3.1 MB · Views: 21
We boya nimesema hata Wikipedia, ukajiona eti u-shine na Wikipedia ili ku-ignore vitu Vingine we jamaa ni useless kabisa. Nani hajui Wikipedia inakuwa edited, kujibu hapo umejoona genius. Unangania maswali maswali, ni maswali yapi yenye msingi umeuliza. Angalia unaetafuta coins kwenye mtandao ili huoneshe unaakili nimekuambia Palestine ilikuwa British colony hata hilo hujui before that ilikuwa part of ottoman empire. Sitashangaa ukasema ottoman empire ndio israel. Middle Eastern map has been reshaped be empires over centuries hata hicho hujui, hata sijui kwanini na bishana na kituko kama wewe. Un avoid vitu vya msingi una dwell kwenye petty issues ili uonekane unaakili nimekuliza maswali gani umeshindwa kujibu. Hata maswali ujajibu hata moja, kwasababu hujui chochote uko, unachojua ni kushabikia watu kuuwawa tu. Kisa huelewi unachokiongea ulisema Palestine ni Jina alianzisha Arafat 1967 the una post coin ya 1920's imeandikwa Palestine hapo umejustify that Palestine exist haya nitumia coin ya israel ya mwaka huo au nyuma. Unajichanganya mwenyewe
 
Wewe tulia hata hayo maswali yangu umeshindwa kujibu unarukaruka tu na kujifanya unajua kiingereza Uchwara!! Mimi Mmatumbi tu naweza kuingia kwenye WIKIPEDIA na nikaweka UHARO wangu hapo na wajinga na wapumbavu kama wewe wakaja wakaufakamia. Nimekuuliza kabla ya hao British wako hapo Palestina unayoisema wewe alikuwepo mfalme,Rais,Sultan wa kipalestina nani? Na je hiyo coin ni ya nchi gani twende taratibu leo nataka Nikutoe tongo tongo mjinga wewe!! Ukinijibu hayo tuingie Aramu ya pili uone kama hutakimbia!!
 

Attachments

  • IMG_1595.jpeg
    3.1 MB · Views: 18
Brother unajifanya unajua sana.Lakini,unapotosha.Eti Judaism resemble Islam,eti Wayahudi wenyewe hawakiamini kitabu cha biblia.Unapotosha,umma wote ukuouuze.
 
Brother unajifanya unajua sana.Lakini,unapotosha.Eti Judaism resemble Islam,eti Wayahudi wenyewe hawakiamini kitabu cha biblia.Unapotosha,umma wote ukuouuze.
Jamaa anajifanya anajua kiingereza Uchwara anakuja hapa kubabaisha watu kwa vitu vya kukaririshwa na wasio juma historia nimemuuliza maswali kidogo hapo kachachawa anarukaruka kama maharadżę jikoni. U dini umemjaa anaropoka vitu ambavyo amekaririshwa Msikitini na Sheikh Kipozeo!!! Ngoja mimi sishughulike naye mpaka akimbie!!
 
Brother unajifanya unajua sana.Lakini,unapotosha.Eti Judaism resemble Islam,eti Wayahudi wenyewe hawakiamini kitabu cha biblia.Unapotosha,umma

Jew hawamini kama Yesu ni masia wao, hawamini kama yesu ni roho mtakatifu soma msingi ya Judaism usilalamike kabla hujosoma
 
Wewe ulisha shindwa umebaki ku dwell kwenye petty issues. Ulichoandika hapo kinausu nini na topic. Jifunze kusoma, sio unaleta topic alafu unashindwa ku-defend. Tufautisha na kujifanya na kujua. Mnashabikia vitu hata hamvijui
 
Jew hawamini kama Yesu ni masia wao, hawamini kama yesu ni roho mtakatifu soma msingi ya Judaism usilalamike kabla hujosoma
Wewe usituhamishe kwenye mada nimekuuliza maswali hujayajibu kuhusu hiyo coin ni ya nchi gani? Na kabla ya unayosema wewe British colonial Palestina alikuwa mfalme au Sultan nani alikuwa anatawala?
 
Wewe ulisha shindwa umebaki ku dwell kwenye petty issues. Ulichoandika hapo kinausu nini na topic. Jifunze kusoma, sio unaleta topic alafu unashindwa ku-defend. Tufautisha na kujifanya na kujua. Mnashabikia vitu hata hamvijui
Nasubiri majibu acha Kubwabwaja ovyo ovyo!!!
 
Nasubiri majibu acha Kubwabwaja ovyo ovyo!!!
Uemeuliza nini weweee, kila ulicho uliza nimejibu ni sijajibuu???. Nimekuliza mara Tatu umeulza ni nini hujibu. Wewe ndio hajajibuu hata hata swali moja nilioliza. List maswali yako nikujibu na nikujibu wewe ujibu yangu yote anayo-avoid. Ulijua ukipost hii topic utaleta propaganda za kitoto kwa watu wasio na uelewa
 
Maswali yangu yote yako wazi Ila unashindwa kujibu kwa sababu hujui na umekaririshwa tu.
1. Kabla ya uliyosema wewe British Colony hapo unapopaita wewe Palestina alikuwepo Mfalme,Rais,Sultan wa Kipalestina nani?
2. Je pesa yao ilikuwa inaitwa Shilingi,Dollar,Dinar au Shekel?
3. Je Coin hiyo hapo chini ni ya nchi gani?
Jibu hayo maswali ili tuendelee mbele nikutoe ujinga wako!!
 

Attachments

  • IMG_1595.jpeg
    3.1 MB · Views: 22
Majibu yote nimeshakupa haya ngoja nijibu tena.
1. Palestine ilikuwa British colony, colony inakuaje na mfalme wewe jamaa myopic kishenzi nimekuambia kabla ya kuwa British colony ilikuwa under Ottaman empire soma rulers wa ottoman empire.
2. Ikiwa Ottoman empire walitumia lira, kipindi cha colonialism walitumia Palestine pound.
3. Sitaji kujibu swali la Tatu, wewe unaona hiyo coin imeandikwa nini hapo. Alafu unauliza upuuzi. Hiyo coin ni denomination ya pound.
Haya uliza maswali mengine.
Maswali yangu naomba.
1. Pesa ya israel kabla ya 1940's inaitwaje unaweza kunitumia picha yake.
2. Nitumie kitu chochote kinausina na israel kabla ya 1940s
3. Wewe kupost hiyo coin imeandikwa Palestine ya 1920's maana yake unakubali Palestine ilkuwepo kipindi hicho? Sasa iweje unasema Palestine ilianzishwa 1967 na Yasser Arafat. Hauoni unjichnganya
 
Swali la kwanza hujajibu nimeuliza kabla ya hao wakoloni hapa Palestina alikuwepo mtawala nani?
Swali la pili pia hujajibu nimeuliza Kabla ya hao wakoloni pesa ya kipalestina ilikuwa inaitwaje? Shilingi,Dinar,pound,Dollar au Shekel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…