Tetesi: Misri ipo mbioni kupokea wakimbizi kutokea Palestina

Kwanza hiyo translation ya coin uliyoiweka siyo kabisa mimi najua Hebrew wadanganye wajinga wenzako. Narudia tena Israel ilikuwepo hapo Israel zaidi ya miaka 3,000 iliyopita kulikuwa na wafalme mbalimbali waliyoiongoza nchi hiyo wakiwemo akina Saul,David,Suleman na wengine wengi tu. Kabla ya British mandate Israel walikuwepo na walikuwa na pesa yao coins zao hizo hapo chini. Kwa hiyo uache kushupaza fuvu. Mimi nilikuwa Nakuacha tu uendelee Kubwabwaja. Nakusubiri tena ili nikutoe tongotongo mjinga wewe!!
We kweli ni zwazwa hizi ndio coin za before 1947, hujui Hebrew wala chochote useless. Unatoa utetetezi wa kitoto nime kuambia nipe ushahidi wa Isreal kabla ya 1947. Unaniletea story za mwaka 3000 iliopita. We unajua hii Dunia ramani zimekuwa reshaped how many times since huo muda wako unaongelea ni taifa gani lilionza 3000 iliopita mpaka sasa lipo kama sio Isreal yako. Acha ujinga leta relevant evidence that Isreal existed before 1947 usilete coins hazina mwaka wala hazisomeki, hiyo coin unayosema haisomi nilicho translate imeandikwa ki Hebrew na kiarabu so does note nilizoziweka note ume-ignore umestick na coin ndio maana nasema wewe dillusional mgonjwa wa akili
 
Coins zako zole, ni za 1980's, we jamaa ni zwazwa sana, sujui anajaribu mrithisha nani na ujinga
 
We jamaa sijui tatizo la akili linaenda mbali kuliko nilivyofikiria unapost coins za 1980's. Ku-defend vitu vya 1940's. Yani wewe ni zwazwa kama unajua Hebrew ungesoma kilichoandikwa na usingepost hizo coins. You are simply useless
 
We kweli ni zwazwa hizi ndio coin za before 1947, hujui Hebrew wala chochote useless. Unatoa utetetezi wa kitoto nime kuambia nipe ushahidi wa Isreal kabla ya 1947. Unaniletea story za mwaka 3000 iliopita. We unajua hii Dunia ramani zimekuwa reshaped how many times since huo muda wako unaongelea ni taifa gani lilionza 3000 iliopita mpaka sasa lipo kama sio Isreal yako. Acha ujinga leta relevant evidence that Isreal existed before 1947 usilete coins hazina mwaka wala hazisomeki, hiyo coin unayosema haisomi nilicho translate imeandikwa ki Hebrew na kiarabu so does note nilizoziweka note ume-ignore umestick na coin ndio maana nasema wewe dillusional mgonjwa wa akili
Kwangu wewe utanyooka tu Translation kwenye hiyo Coin si kweli Neno “Island” umelipata wapi? Maana Island kwa Hebrew ni אִי Acha kudanganya wadanganye wajinga wenzako mdogoye umedai ushahidi nimekupa kukudhibitishia kuwa Israel ilikuwepo zaidi ya miaka 3,000 iliyopita sasa nakuomba na wewe unipe Coins au note za kabla ya British Mandate najua hapo utakwama maana Palestina siyo nchi na haitakuwa nchi.
Tafsiri ya coin hiyo itabakia kuwa “Nchi ya Israel”
 
Attachments

  • IMG_1645.jpeg
    IMG_1645.jpeg
    93.3 KB · Views: 23
Kama sikosei Uli sema hizo coins hazina Mwaka Ina maana ulipofuturu tu ukaona mwaka?
Acha ujinga wako tuliza hilo wenge. Lete ushahidi wa palestina kuwa nchi!! Lete tu hata coins ya kabla ya British Mandate
 
Attachments

  • IMG_2010.jpeg
    IMG_2010.jpeg
    1.1 MB · Views: 18
Coins zako zole, ni za 1980's, we jamaa ni zwazwa sana, sujui anajaribu mrithisha nani na ujinga
Coins za 1980 hizo hapo chini
 
Attachments

  • IMG_2011.jpeg
    IMG_2011.jpeg
    1.4 MB · Views: 24
Wewe zwazwa zile Shekel zote ni za 1980's umeshindwa kueleza umebaki kupotosha watu. how many times nakujibu palestine ilikuwa under Ottaman empire kabla ya British colony, unauliza ujinga uleule kila mara. Umeshindwa kunipa ushaidi wowote uwepo wa israel kabla 1947 umebaki na story ya Isreal ya kwenye bibilia ya miaka 3000 ambayo ilikuwa under Roman empire which ceased to exist thousands years ago. Nimekuambia pesa kipindi cha ottoman empire ilikuwa lira. Waingerza walivyochukua wakaendelea Jina palestine kama colony lao ndio maana Wana pesa zao ukoloni. Nimekuomba pesa za Isreal au kitu chochote cha Isreal kabla 1947 unapost coins za 1980's. Alafu ulivyokuwa mpuuzi unakubali Kuna coins za palestine za 1920's unatetea zimeandikwa ki hebrew, nimekuonesha coins na note zote palestine zimeandikwa ki Hebrew na ki arab kwa sababu hizi jamii zimekuwa zikiishii palestine. Ulijua utaposti ujingaa alafu upotoshe watu, umefeli bro sikuachii mpaka uache ujingaa next time post sensible things sio maujinga ujinga. Na usiniulize maswali huwezi ushaidi nilioumba
 
Back
Top Bottom