Yani na jibu maswali unauliza tena kitu kile kile, huo si ujinga. Unaropoka tu, ili uonekane unaakili useless sina muda waku deal mpuuzi. Baki na ulofaa wako.Swali la kwanza hujajibu nimeuliza kabla ya hao wakoloni hapa Palestina alikuwepo mtawala nani?
Swali la pili pia hujajibu nimeuliza Kabla ya hao wakoloni pesa ya kipalestina ilikuwa inaitwaje? Shilingi,Dinar,pound,Dollar au Shekel?