FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #61
Misri anamwambia Ethiopia cha kufanya ndani ya ardhi yake kama nani? Nani kampa Ethiopia kuwa koloni lake? How??!!! Misri ni nani hadi atupangie Tz namna ya kutumia ziwa Victoria???Ethiopia ni wapuuzi na wabinafsi,wameambiwa wajaze bwawa kwa awamu hawataki sasa si bora kupiga bomu tuu Ili kutoathiri flow ya maji downstream
ameshakwambia hata wewe cha kufanya miaka mingi tu. hata tz alishasema kama tunataka maji mbona tunaweza kuchimba visima tukapata underground, kutumia maji ya victoria tunafanya mto nile upungue na yeye anautumia kule kwao. kuna mikoa mingi tu inazunguka ziwa hawana maji hadi leo, hata Mara kuna vijiji havina maji, ila ziwa lipo pale. kutoa maji toka mwanza kuja Dodoma ni kwa mbinde, Misri hataki. ajabu yake, sisi ndio tunapanda miti inaleta mvua ziwa linaendelea kujaa, the same applies to Ethiopia, tukiamua kuacha kutunza mazingira ni kwamba NIle itakauka automatikally, au hata tukiamua kuyachafua wataenda kule watakula uchafu na sumu tu. kwa ethiopia hatakiwi kuleta kibesi kwasababu hata hamisha mto ule toka ethiopia hata baada ya kuwapiga, bado mto utaendelea kuwa nchini ethiopia na waethiopia wakiamua kutia sumu waarabu wafe wanaweza. asione yeye ndio mbabe wa kuonea wengine.Misri anamwambia Ethiopia cha kufanya ndani ya ardhi yake kama nani? Nani kampa Ethiopia kuwa koloni lake? How??!!! Misri ni nani hadi atupangie Tz namna ya kutumia ziwa Victoria???
Una roho ya kishetani,uzi huo unahusianaje na vya kwetu usiwe na roho mbaya katika maisha yako,haikusaidii.HEP is outdated in the modern world hata huu wa kwetu hauna tija ni suala la muda tuuu !! Hata uwanja wa ndege chato mliudifia hiv hivi hata zole ndege mlipiga mayowe na kuandamana mpaka eapot leo vipi!??? Miradi ya jiwe ni faken yote
kuna waethiopia wana asili ya Israel huwa wanarudi Israel, kila mtu ana haki ya kutumia rasilimali alizonazo misri atengeneze mkataba mwingine awe anatoa malipo sio anataka kuzuiwa watu wengine kisa afaidke yeye mwenyeweUkiona Ethiopia naingia vitani na Misri jua Islael yupo nyumba ya Ethiopia!
Misri Wana akili kama za Sospeter Muhongo
Okay, unaonaje Tanzania tuende tukapige mabomu viwanda vya China vinavyochafua hewa (greenhouse gases) na kuleta mabadiliko ya tabia nchi na kusababisha hali mbaya ya ukame na mfuriko kiasi maelfu kwa malaki Afrika wanateseka na baa la njaa? Unaonaje hiyo?ameshakwambia hata wewe cha kufanya miaka mingi tu. hata tz alishasema kama tunataka maji mbona tunaweza kuchimba visima tukapata underground, kutumia maji ya victoria tunafanya mto nile upungue na yeye anautumia kule kwao. kuna mikoa mingi tu inazunguka ziwa hawana maji hadi leo, hata Mara kuna vijiji havina maji, ila ziwa lipo pale. kutoa maji toka mwanza kuja Dodoma ni kwa mbinde, Misri hataki. ajabu yake, sisi ndio tunapanda miti inaleta mvua ziwa linaendelea kujaa, the same applies to Ethiopia, tukiamua kuacha kutunza mazingira ni kwamba NIle itakauka automatikally, au hata tukiamua kuyachafua wataenda kule watakula uchafu na sumu tu. kwa ethiopia hatakiwi kuleta kibesi kwasababu hata hamisha mto ule toka ethiopia hata baada ya kuwapiga, bado mto utaendelea kuwa nchini ethiopia na waethiopia wakiamua kutia sumu waarabu wafe wanaweza. asione yeye ndio mbabe wa kuonea wengine.
though on the other hand, NIle kwa Misri imekuwepo karne, uchumi wake mkubwa sana umejijenga kwenye mto huo, hivyo kupungua kwa maji kutakata mapato makubwa na nchi itatikisika sana kwasababu ilishajiimarishia humo, hapo cha muhimu ni kwenda kwa mazungumzo na maelewano, na kama ikiwezekana basi misri waangalie kama watagharimia vitu ambavyo ethiopia au hata sisi tutapata nje ya maji ya mto. angewajengea mfumo mwingine wa kupata umeme ethiopia tena kwa kutumia pesa zao zinazotokana na mto nile kule kwao kama mbadala wa Ethiopia kutumia maji. hapo wangeeleweka. ila kuzuia kwamba kwasababu yeye ndio alijijenga kwenye mto tangu zamani hivyo wengine wasitumie wakati maji yanatoka nchini kwao, haitakuja kukubalika.
Tena JNHPP inayojengwa kwa kutumia feasibility study ya miaka ya 1970/72, miaka 50 iliyopita, ndio bure kabisa, lile bwawa halitakaa lijae maji kwa sababu hayapo au yatakuwa kidogo sana na kulifanya lisiwe sustainable na hasara kubwa kwa taifa. Muda utaongea!HEP is outdated in the modern world hata huu wa kwetu hauna tija ni suala la muda tuuu !! Hata uwanja wa ndege chato mliudifia hiv hivi hata zole ndege mlipiga mayowe na kuandamana mpaka eapot leo vipi!??? Miradi ya jiwe ni faken yote
Kweli akili kama processor za mtkTena JNHPP inayojengwa kwa kutumia feasibility study ya miaka ya 1970/72, miaka 50 iliyopita, ndio bure kabisa, lile bwawa halitakaa lijae maji kwa sababu hayapo au yatakuwa kidogo sana na kulifanya lisiwe sustainable na hasara kubwa kwa taifa. Muda utaongea!
Yaani nchi nyingine ikupangie namna ya kutumia maji yaliyo nchini kwako, Misri aache ujinga wake.Ethiopia ni wapuuzi na wabinafsi,wameambiwa wajaze bwawa kwa awamu hawataki sasa si bora kupiga bomu tuu Ili kutoathiri flow ya maji downstream