Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Nadhani point ya muuliza swali anataka umtajie majina ya watawala wa Palestine kabla ya mwaka 1947; mfano Israel unaweza kuwataja wafalme wao kama kina Joshua, Samuel, Sauli, Daudi, Suleiman nk, sasa je tunayajua majina ya watawala/wafalme wa Kipalestine walau 5 kabla ya mwaka 1947? Nipo interested kujua hata mimi brother.Kabla ya hapo Palestina ilikuwa ikitawaliwa na watawala tofauti tofauti na si lazima waitwe wafalme au maraisi.Mara ya mwisho ilikuwa ni sehemu ya utawala wa kiislamu wa Ottoman ambao ulianzia nchi za kiarabu mpaka Ulaya na Asia.