Misri ni taifa la watu weusi kama unavyoona waafrica leo angalia video hiyo alafu toa maoni yako kama unaunga mkono au la

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,800
Reaction score
2,339
Your browser is not able to display this video.
 
Attachments

  • mandela.PNG
    150.3 KB · Views: 5
Kuna kila dalili Africa Kaskazini yote iliibiwa na Waarabu kutoka kwa Weusi.

Angalia huo ukanda unaoanzia Asia, Iran, Kuwait, iraq, Syria ikaja Egypt, Libya, Algeria, Tunisia, Morocco.

Kuna kila dalili Africa Kaskazini yote iliibiwa na Waarabu kutoka kwa Weusi.

Angalia huo ukanda unaoanzia Asia, Iran, Kuwait, iraq, Syria ikaja Egypt, Libya, Algeria, Tunisia, Morocco.

View attachment 1305428
kiongozi hiyo nikweli kabisa maana vita huwa inawakimbiza watu na eneo hilo ilkuwa ni hot area ya vita kwa miaka mingi bila utulivu walioweza kukaa kwa miaka mingi ni misri ndo maana kuna hazina nyingi ya watu wweusi
 
Siku nikipata nafasi nitashusha mzigo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…