Misri wamjibu Trump; hawawezi kushiriki kuwaomdoa Wapalestina wana dhamana isiyoweza kuvunjika na ardhi ya mababu zao

Misri wamjibu Trump; hawawezi kushiriki kuwaomdoa Wapalestina wana dhamana isiyoweza kuvunjika na ardhi ya mababu zao

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

⚡️🇪🇬BREAKING: Egypt’s Embassy in USA republishes the following as a response to Donald Trump:

Egypt’s stance is clear: it cannot be part of any solution that involves the transfer of Palestinians into Sinai. Such a move would trigger a second Nakba, an unimaginable tragedy for a resilient people who have an unbreakable bond with their ancestral land.

Let us be clear, Egypt is not in the business of entertaining any proposition that would dilute the question of Palestine!
===============
⚡️🇪🇬BREAKING: Ubalozi wa Misri nchini Marekani unachapisha upya yafuatayo kama jibu kwa Donald Trump:

Msimamo wa Misri uko wazi: hauwezi kuwa sehemu ya suluhisho lolote linalohusisha uhamisho wa Wapalestina katika Sinai. Hatua kama hiyo ingeanzisha Nakba ya pili, janga lisiloweza kufikiria kwa watu wastahimilivu ambao wana uhusiano usioweza kuvunjika na ardhi ya mababu zao.

Tuseme wazi, Misri haiko katika biashara ya kukaribisha pendekezo lolote litakalopunguza suala la Palestina!

View: https://x.com/suppressednws/status/1883583776732877182?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti babu zao au mavuzi yao???

Pumbavu zenu, babu za Israel wamekuwepo hapa kabla ya utapeli wenu kuzinduliwa.

Wamekuwepo hapo kabla hamjaanza kuamini kuna mabikra 72.

Misri na Jordan ni wajanja sana.

Hawataki iwatokee yale ya lebanon.

Hawataki utapeli wa wapalestina.

Beside that, babu zao wapi hao?? Wakina mamlouk, wakina saldin??

Hapo kulikuwepo tribes of israe kabla hamjaja na utapeli wenu na kujenga majengo juu ya sinagogi alilojenga solomon ili mfute historia ya wayahudi

View: https://x.com/egyptembassyusa/status/1883555487444328473?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
I demand His Excellency President Trump to force Israel to abide by the partition resolution issued by the UN and withdraw from all Palestinian territories that it occupied after the resolution was issued and adopt the two-state solution to live peace in peace.
 
Jibu la misri ni zuri sana shida yako umelileta kishabiki sana
 
Hamas: 'Taarifa kwa vyombo vya habari Kujibu kauli za Rais wa Marekani Donald Trump na wito wake wa kuwahamisha Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza hadi Misri na Jordan; Sisi katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Hamas) tunathibitisha yafuatayo: Watu wetu wa Palestina, ambao walisimama kidete kukabiliana na vitendo viovu zaidi vya mauaji ya kimbari katika zama hizi, ambavyo vilifanywa dhidi yao na jeshi la utawala ghasibu la Kizayuni, na wakakataa kusalimu amri. kwa uhalifu wa kulazimishwa kuhama makazi yao, haswa katika Ukanda wa Kaskazini wa Gaza; kukataa kabisa mipango yoyote ya kuwafukuza na kuwafukuza kutoka kwa ardhi yao. Tunatoa wito kwa utawala wa Marekani kuacha mapendekezo haya ambayo yanaendana na mipango ya Israel na yanagongana na haki na hiari ya watu wetu, na badala yake kufanya kazi ili kuwawezesha watu wetu wa Palestina kupata uhuru wao na kuanzisha nchi yao huru na Jerusalem. kama mji mkuu wake, na kuelekeza shinikizo kwa uvamizi wa uhalifu ili kuharakisha taratibu za kujenga upya kile kilichoharibu wakati wa vita vyake vya kikatili kwenye Ukanda wa Gaza, na kurejesha maisha huko katika hali ya kawaida. Pia tunatoa wito kwa nchi za Kiarabu na Kiislamu, hasa ndugu zetu wa Misri na Jordan; Kusisitiza misimamo yao madhubuti katika kukataa kufukuzwa na kufukuzwa, kutoa njia zote za msaada na usaidizi kwa watu wetu, kuimarisha uthabiti wao na uvumilivu katika ardhi yao, na kufanya kazi kutoa kila kitu kinachohitajika ili kuondoa athari za uchokozi wa kifashisti ambao Ukanda wa Gaza. alifanyiwa.'
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti babu zao au mavuzi yao???

Pumbavu zenu, babu za Israel wamekuwepo hapa kabla ya utapeli wenu kuzinduliwa.

Wamekuwepo hapo kabla hamjaanza kuamini kuna mabikra 72.

Misri na Jordan ni wajanja sana.

Hawataki iwatokee yale ya lebanon.

Hawataki utapeli wa wapalestina.

Beside that, babu zao wapi hao?? Wakina mamlouk, wakina saldin??

Hapo kulikuwepo tribes of israe kabla hamjaja na utapeli wenu na kujenga majengo juu ya sinagogi alilojenga solomon ili mfute historia ya wayahudi

View: https://x.com/naksbilal/status/1883617455043678239?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti babu zao au mavuzi yao???

Pumbavu zenu, babu za Israel wamekuwepo hapa kabla ya utapeli wenu kuzinduliwa.

Wamekuwepo hapo kabla hamjaanza kuamini kuna mabikra 72.

Misri na Jordan ni wajanja sana.

Hawataki iwatokee yale ya lebanon.

Hawataki utapeli wa wapalestina.

Beside that, babu zao wapi hao?? Wakina mamlouk, wakina saldin??

Hapo kulikuwepo tribes of israe kabla hamjaja na utapeli wenu na kujenga majengo juu ya sinagogi alilojenga solomon ili mfute historia ya wayahudi

View: https://x.com/ajenglish/status/1883562129049149535?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti babu zao au mavuzi yao???

Pumbavu zenu, babu za Israel wamekuwepo hapa kabla ya utapeli wenu kuzinduliwa.

Wamekuwepo hapo kabla hamjaanza kuamini kuna mabikra 72.

Misri na Jordan ni wajanja sana.

Hawataki iwatokee yale ya lebanon.

Hawataki utapeli wa wapalestina.

Beside that, babu zao wapi hao?? Wakina mamlouk, wakina saldin??

Hapo kulikuwepo tribes of israe kabla hamjaja na utapeli wenu na kujenga majengo juu ya sinagogi alilojenga solomon ili mfute historia ya wayahudi
Una uhakika na upumbavu wako ulioileta hapa? Nenda kamwulize pasta wako ni lini Gaza iliwahi kuwa ardhi ya Israel. Nenda kamwulize tena Ibrahimu na Wafilisti na Wayebusi nani alikuwa wa kwanza kuishi Pelestine. Baada upumbavu wako kutoka uje ulete majibu.
 
Mababu zao wapo Arabian Peninsula Saudia Arabia.. sio land of israel Quran si inawatambua waisrael na Musa kuwa ni Bani Israel... leo waislam mmewehuka mnaikana na kuikanyaga Quran. Wanafiki nyie.. hahahaha.. fake Muslim
 
I demand His Excellency President Trump to force Israel to abide by the partition resolution issued by the UN and withdraw from all Palestinian territories that it occupied after the resolution was issued and adopt the two-state solution to live peace in peace.
Exactly! That is how it should be.
 
Una uhakika na upumbavu wako ulioileta hapa? Nenda kamwulize pasta wako ni lini Gaza iliwahi kuwa ardhi ya Israel. Nenda kamwulize tena Ibrahimu na Wafilisti na Wayebusi nani alikuwa wa kwanza kuishi Pelestine. Baada upumbavu wako kutoka uje ulete majibu.
Wewe ndio hujui history.. kaulize na Madina kule Saudia Arabia ya sasa mji wa nani utaambiwa ni Wayahudi.. Mtume wenu fake Mudy alifanya Genocide kwa wayahudi Medina na akapiga marufuku wayahudi wasikanyage mji wao hadi leo.. ila one day the great Israel mji utarejea kwa wenyewe..

Arabs kavamia Egypt kafuta kizazi cha wenyeji Africans, Syria,Lebanon nk
 
Wewe Mlokole uwa punguani sana Naetanyahu baba yako
Kazaliwa Poland. Hapo Mashariki ya kati kwa nani yake?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti babu zao au mavuzi yao???

Pumbavu zenu, babu za Israel wamekuwepo hapa kabla ya utapeli wenu kuzinduliwa.

Wamekuwepo hapo kabla hamjaanza kuamini kuna mabikra 72.

Misri na Jordan ni wajanja sana.

Hawataki iwatokee yale ya lebanon.

Hawataki utapeli wa wapalestina.

Beside that, babu zao wapi hao?? Wakina mamlouk, wakina saldin??

Hapo kulikuwepo tribes of israe kabla hamjaja na utapeli wenu na kujenga majengo juu ya sinagogi alilojenga solomon ili mfute historia ya wayahudi
1000002307.jpg
 
Trump jinga sana yaani Marekani wamejaribu kila mbinu kuwamaliza Wapalestina, wameshindwa, killa siku wanatuma silaha Israel, wauwa watoto na wanawake, leo eti anaomba nchi za kiarabu ziwachukue Wapelstina na Gaza waachiwe Israel punguani kweli, kaingia madarakani anafukuza watu nchi kwake tena kwa nguvu.
 
TRUMP MULLS PLAN TO DEPORT MIGRANTS TO EL SALVADOR

The Trump administration is considering reviving a "Safe Third Country" deal with El Salvador to deport non-Salvadoran migrants to the country, forcing them to seek asylum there instead of in the U.S.

The plan could include deporting suspected members of Venezuela’s Tren de Aragua gang - El Salvador, under President Bukele’s anti-gang regime, would be tasked with handling these deportees.

With military planes now used for deportations and the "Remain-in-Mexico" policy reinstated, Trump’s hardline immigration overhaul is rapidly taking shape.

Source: CBS News
 
Back
Top Bottom