Ulikuwa kwanza kila nchi iweke mbali majeshi yake na mpaka wa Misri na kwamba Sinai itarudiswa kwa Misri lakini pia asiweke jeshi pale.Mkataba ulikuwa juu ya nini?
Mikwara tuu hiyo, huyo kibaraka Al Asisi hana lolote
Halafu wakishauvunja ndiyo itakuwaje?Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimae Misri imetoa tamko kwamba iwapo Israel itashambulia eneo la Rafah basi itafuta mkataba wake wa muda mrefu uliotiwa saini baina yao.
Mkataba huo uliotiwa saini mwaka 1979 baina ya rais Anwar Saadat wa Misri na waziri mkuu wa Israel wa wakati huo Menakhen Begin ulisimamiwa na raisi Carter wa Marekani.
Tishio kama hilo pia limewahi kutolewa na Jordan japokuwa bado hawajafanya hivyo juu ya kwamba maeneo yanayosimamiwa na nchi hiyo ndani ya Ghaza yameshashambuliwa mara nyingi.
View attachment 2902040
Egypt Is Threatening to Void Its Decades-Old Peace Treaty with Israel. What Does That Mean?
Huwezi kuilaumu Misri , vita zote mbili ya 1967, na 1973 , Misri ilipojaribu kupigana na Israel ilikuwa inapata hasara kubwa sana na inashindwa vibaya sana, mpaka IDF inakaribia kuikamata Cairo. Hata leo Misri ikiingia front na Israel Misri atachapwa mapema sana , vita kati ya nchi na nchi ni hatari sana, air force ya Israel Misri atachapwa mapema, vita inaweza kuchukua wiki 2 tu mshindi atakuwa ameshapatikanaHuu mkataba wakilaghai ukifa huu ndio ntaanza kua na imani na misri kwa kweli
Ila mpaka sasa hata hayo wanayoyaongea siyaamini na sina imani nao
Misri wanafiq sana na unafiq wao mkubwa unaletwa na huo mkataba wa kijinga waliosaini na magaidi mauaji makatili mazayuni
Labda Iran ndo anaweza kuisumbua kidogo Israel lakini siyo Egypt , hata Iran air force yake bado hawezi kuishinda IsraelHuwezi kuilaumu Misri , vita zote mbili ya 1967, na 1973 , Misri ilipojaribu kupigana na Israel ilikuwa inapata hasara kubwa sana na inashindwa vibaya sana, mpaka IDF inakaribia kuikamata Cairo. Hata leo Misri ikiingia front na Israel Misri atachapwa mapema sana , vita kati ya nchi na nchi ni hatari sana, air force ya Israel Misri atachapwa mapema, vita inaweza kuchukua wiki 2 tu mshindi atakuwa ameshapatikana
Unayozungumza kuhusu Israel ni hapo zamani.Huwezi kuilaumu Misri , vita zote mbili ya 1967, na 1973 , Misri ilipojaribu kupigana na Israel ilikuwa inapata hasara kubwa sana na inashindwa vibaya sana, mpaka IDF inakaribia kuikamata Cairo. Hata leo Misri ikiingia front na Israel Misri atachapwa mapema sana , vita kati ya nchi na nchi ni hatari sana, air force ya Israel Misri atachapwa mapema, vita inaweza kuchukua wiki 2 tu mshindi atakuwa ameshapatikana
Israhell ipi ya kuichapa misriπππ hizo filamu za huli wudi hamjazistuki tu kama zakutungwaHuwezi kuilaumu Misri , vita zote mbili ya 1967, na 1973 , Misri ilipojaribu kupigana na Israel ilikuwa inapata hasara kubwa sana na inashindwa vibaya sana, mpaka IDF inakaribia kuikamata Cairo. Hata leo Misri ikiingia front na Israel Misri atachapwa mapema sana , vita kati ya nchi na nchi ni hatari sana, air force ya Israel Misri atachapwa mapema, vita inaweza kuchukua wiki 2 tu mshindi atakuwa ameshapatikana
Mgambo wa israhell walikua over rated sanaLabda Iran ndo anaweza kuisumbua kidogo Israel lakini siyo Egypt , hata Iran air force yake bado hawezi kuishinda Israel
EMBU USITUDANGANYE WE JAMAA HAKUNA WATOTO HUMU NDANI.Huwezi kuilaumu Misri , vita zote mbili ya 1967, na 1973 , Misri ilipojaribu kupigana na Israel ilikuwa inapata hasara kubwa sana na inashindwa vibaya sana, mpaka IDF inakaribia kuikamata Cairo. Hata leo Misri ikiingia front na Israel Misri atachapwa mapema sana , vita kati ya nchi na nchi ni hatari sana, air force ya Israel Misri atachapwa mapema, vita inaweza kuchukua wiki 2 tu mshindi atakuwa ameshapatikana
Maneno yako ni kweli pia hizi mbwebwe zote ni sababu Israel kashindwa kukomboa hata mateka wake mmoja na Hamasi bado wako strong hakuna hata target yake mmoja iliyo muingiza vitani imefanikiwa, hizo ni siasa kuonyesha Israel atasimamisha vita kutokana anamatatizo na Egypt hizo ni plan wanazo zifanya hizo nchi ili aonekeane Israel hajashindwa vita πHuu mkataba wakilaghai ukifa huu ndio ntaanza kua na imani na misri kwa kweli
Ila mpaka sasa hata hayo wanayoyaongea siyaamini na sina imani nao
Misri wanafiq sana na unafiq wao mkubwa unaletwa na huo mkataba wa kijinga waliosaini na magaidi mauaji makatili mazayuni
Kabisaaaa wanataka wamtoe kwenye aibu aloipataManeno yako ni kweli pia hizi mbwebwe zote ni sababu Israel kashindwa kukomboa hata mateka wake mmoja na Hamasi bado wako strong hakuna hata target yake mmoja iliyo muingiza vitani imefanikiwa, hizo ni siasa kuonyesha Israel atasimamisha vita kutokana anamatatizo na Egypt hizo ni plan wanazo zifanya hizo nchi ili aonekeane Israel hajashindwa vita [emoji1]
Leo Biden na Anthony Blinken ndio wana uchungu na watoto/wanawake wa Gaza bada ya kuwauwa karibu 28,000 [emoji1] Leo pia nchi za kiarabu kama Saud Arabia, Jordan, Egypt, Morocco, UAE, Baharain na kibaraka wao Mahamoud Abbas wanauchungu na watoto wa Gaza hi kweli inawezekana? Sidhani hizi zote ni filim wameona Israel kashindwa vita hawataki kusema Hamasi kawashinda.
We huoni wananza kama kushambuliana wao kwa wao ili wajinge wamini kama kweli kuna matatizo kati yao, hi si kweli ni propoganda tu. Siasa kitu kibaya sana hawataki kuwapa Haki zao Hamasi kwa kusema wameshinda hi vita.
Israel kafail kwenye kila kitu, kafail kwenye vita, kwenye utu, kwenye siasa, kwenye economy yani kila kitu kafail kajidhalilisha sana duniani yeye na hizo nchi za European na za kiarabu.
Big up to Hamasi nyie ndio masuper power wa Middle East pamoja na Yemen.
Gaza Hamas walikuwa na brigedi 8 za kijeshi Sita wamesha angamiza na kuzisambaratisha zimebaki mbili tu wanataka wamalizane nazo hapo Raphah na operation hiyo wamejipa miezi minne wakimalizana nao wanasema Kuna miezi mwingine minne ya. Operation malizia sehemu yeyote kama wako wale gaidi moja moja.Kuanzia mwezi huu wa February Hivyo wataendelea na vita Gaza Kwa miezi nane Hadi mwezi wa kumiMgambo wa israhell walikua over rated sana
Hamas tu wamewashindwa ndionwawaweze misri
Hizo habari za kuangamizwa Brigedia kakupa naniGaza Hamas walikuwa na brigedi 8 za kijeshi Sita wamesha angamiza na kuzisambaratisha zimebaki mbili tu wanataka wamalizane nazo hapo Raphah na operation hiyo wamejipa miezi minne wakimalizana nao wanasema Kuna miezi mwingine minne ya. Operation malizia sehemu yeyote kama wako wale gaidi moja moja.Kuanzia mwezi huu wa February Hivyo wataendelea na vita Gaza Kwa miezi nane Hadi mwezi wa kumi
Waziri wa Ulinzi wa Israel ndie alitamka HiloHizo habari za kuangamizwa Brigedia kakupa nani
Hao hao waliwaambia watamaliza vita kwa week ndio hao hao π
Hamas ipo ipo sana vita inapiganwa sana
Kwahio mpaka lini vita itakua imeishakwisha ππ