Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Israhell hawajawahi kua wakweli mwanzo wa vita walitwambia kwamba wameitenganisha ghaza kusini na kaskaziniWaziri wa Ulinzi wa Israel ndie alitamka Hilo
Kuwa brigade sita za Hamas walishamalizana nazo zimebaki mbili tu
Wiki mbili zilibadilika baada ya kugundua kuwa vita na Hamas Iko tofauti muda ukaongezwa
Kawaida vita hupiganwa maeneo matatu vita ya kwanza angani,ya pili ardhini ya tatu majiji
Vita ilipoanza wataalamu wa vita wa Israel walijua kuwa ni maeneo hayo matatu lakini vita ilivyokuwa ikiendelea wakagundua kuwa Hamas ni wapiganaji wa chini ya Ardhi kwenye zile Tunnels zao .Aina hoi ya vita ni tofauti Jeshi la IDF la Israel walikuwa hawajawahi pigana vita ya aina hiyo ikabidi waanze kupiga hiyo mi tunnels na kwenda huko ndani kuwaua Hamas Kwa vita za ana Kwa ana
Kilichosogeza muda ni hiyo mi tunnels lakini Kwa angani,na majini na juu ya Ardhi Israel walishawadhibiti barabara .Hamas wamebakia wenye hizo tunnels na ni nyingi mno chini ya Ardhi ya Gaza. Sasa vita ya chini ya Ardhi Sio nyepesi kama maeneo Mengine ndio maana muda umekuwa mrefu ila Hamas waliofikiwa huko kwenye Tunnels na wengine kufa Kwa kukosa hewa baada ya Jeshi la Israel kukata Umeme wa Air condition walizokuwa nazo huko ndani na kuziba milango yote ya kuingiza hewa huko chini ya Ardhi ni wengi
Hamas wengine kibao wamekufa huko chini baada ya IDF kumwaga maji ya Bahari huko kwenye Tunnels ili wafe maji huko kwenye Tunnels hao hakuna atakayeona maiti zao milele wanahesabika tu kuwa walipotea
Miezi minne leo baada ya vita umeliona hili
Vita hata ipiganwe sehemu sita bado wazayuni waongo na hawana uweledi kwenye mapambano
Wangekua na weledi kama tunavyoambiwa na MSM
Huko tuneel ndio waoga kabisa kabisa kuingia wanachokiweza wao kuua watoto na kuharibu hospital ila nje ya hapo hawana wanaloweza