Misri watishia kuvunja mkataba wa Camp David iwapo Israel itashambulia Rafah

Israhell hawajawahi kua wakweli mwanzo wa vita walitwambia kwamba wameitenganisha ghaza kusini na kaskazini
Miezi minne leo baada ya vita umeliona hili
Vita hata ipiganwe sehemu sita bado wazayuni waongo na hawana uweledi kwenye mapambano
Wangekua na weledi kama tunavyoambiwa na MSM
Huko tuneel ndio waoga kabisa kabisa kuingia wanachokiweza wao kuua watoto na kuharibu hospital ila nje ya hapo hawana wanaloweza
 
Hizo ni porojo kaka.
CIA ilitoa ripoti ikisema hamas brigade ina wapiganaji wapatao 30k na katika hilo jeshi IDF wameweza kuua hamas 2k pekeake.
Inamaana bado wapiganaji 28k .
Ngoma bado mbichi.
 
Kwa hiyo Shotocan unataka sema kuwa, Mossad na MI ya IDF hawakujua kuwa Hamas wana tunnels? Walianzisha Operation bila recon?
 
1. Misri pia ilikubali kutambua uwepo wa taifa la Israel.

2. Misri iliahidi kutoshiriki katika hujuma yoyote dhidi ya taifa la Israel kupitia vikosi vyake vya kiusalama wala kwa kuunga mkono kikundi chochote cha kigaidi.
 
Mkuu kweli Hamas ameshinda vita!!? Au unataka kutufanya sisi humu JF hatuna akili na uelewa wa mambo!!? Pia unataka kutuambia TV ya Aljazeela wanatuonyesha uongo jinsi Gaza ilivyochakazwa na IDF!!?

Kawadanganye ndugu zako nyumbani kwenu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…