Misri yagundua mji uliokuepo miaka 3,000 iliyopita

Yaani unagunduaje mji mfano. Kwamba mlikua mkipita hamuuoni au? Archeologists mnafeli wapi?
 
Propaganda ya kutibu ukame wa watalii uliosababishws na covid19
Uko sahihi kabisa, juzi kati waliwatengenezea parade majeneza yenye maiti za mafarao wao, mummies, leo hichi ni kuongezea kuvutia watalii, niliona wanalalamika utalii umeshuka 90%. Si ajabu hata kunasa kwa lile meli kubwa, walihusika ili kupata attention ya dunia. Desperate times calls for desperate measures.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Yaani unagunduaje mji mfano. Kwamba mlikua mkipita hamuuoni au? Archeologists mnafeli wapi?
mji ulikuwa mavumbini, ni kama makaburi ya wafalme tu, mpaka sasa mengine hawajayagundua licha ya kwamba yana ukubwa hata wa ghorofa tatu ila yamefichwa na mchanga
hii Dunia ina maajabu sana, hata hapo unapoishi wewe mkihama, baada ya miaka buku patazama chini
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ukuta mbona ni tope Kama nyumba za wasukuma watani zangu [emoji23][emoji23]zile za hovyo hovyo Sana [emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kinoma
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ukuta mbona ni tope Kama nyumba za wasukuma watani zangu [emoji23][emoji23]zile za hovyo hovyo Sana [emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kinoma
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…