Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Ndio Aya yenye majina ya Hijabu na Niqabu hiyo ?Kasome Qur'an 33:59
Niqab ni ile uliyokuwa unaivaa wakati wa corona, ukipenda usipende.
Umeijuwa sasa?
Ina manufaa yake ikitumika vizuri na ina matatizo yake ikitumika vibaya.
Wewe huna dini? Au huna imani na dini?
Na hii wacheza soka wakubwa kwenda nchi za kiislam si kitu cha kawaida. Ni kuharibu kabisa tamaduni za kiislam kwa mikono ya waislam wenyewe kama kununua timu ulaya. Wataingiza mambo mengi sana ya kimagharibi na mwisho uislam kutupiliwa mbaliKama waliweza kupenyeza kombe la dunia Qatar basi hakuna kitakacho washinda
Umenielewa vizuri. Kidogo kidogo watazoeaNa hii wacheza soka wakubwa kwenda nchi za kiislam si kitu cha kawaida. Ni kuharibu kabisa tamaduni za kiislam kwa mikono ya waislam wenyewe kama kununua timu ulaya. Wataingiza mambo mengi sana ya kimagharibi na mwisho uislam kutupiliwa mbali
Jerusalem nilikutana na Mwafrica Kiongozi wa dini ya Kiyahudi.Duh! Hii kali, kwa hiyo nchi kama saud arabia, iran, iraq, syria na jordan zinaweza kuwa na viongozi wenye asili ya uyahudi? Vipi afrika ukiacha ethiopia, huku kusini mwa jangwa la sahara kunaweza kutokea mbantu mwenye asili ya uyahudi akawa kiongozi? Nigeria kuna star wa filamu inasemakana ana asili ya uyahudi, huyo jamaa si mzungu ila ana ushombe shombe hivi.
Unatuletea habari Toka News Magazine of the Islamic Movement, unafikiri watasema nini kama si kuendeleza Uongo mliofunzwa kwenye dini yenu.And the truth shall set you free View attachment 2749485
waislam wa bongoland mchambawima, makunduchi na kwingineko madongokuinama hawaelewi conspiracy za dunia, wamekuwa brainwashed totally kufuata upepo tu akili zao hawazishughulishi kutaka kujua ukweli wa mamboUmenielewa vizuri. Kidogo kidogo watazoea
Hijab zinalemaza sana akili...90% ya wanafunzi wanaovaa hijabu huwa vilaza sana.Hapa kwetu waondoe hijabu mashuleni
Mnajulikana kwa chuki zenu na mkiwa mbele zetu hamthubutu kuongea haya mnayosema nyuma ya keyboardsUnatuletea habari Toka News Magazine of the Islamic Movement, unafikiri watasema nini kama si kuendeleza Uongo mliofunzwa kwenye dini yenu.
ni kweli, nimesoma nao na nimewafundisha, ni vilaza. Hata matokeo ya mitihani wao ndio hupata matokeo mabaya kwa wingiHijab zinalemaza sana akili...90% ya wanafunzi wanaovaa hijabu huwa vilaza sana.
Kuna majamaa fulani wa kiarabu huko Dubai wakati tunapiga story wakakubaliana kuwa kati ya vitu wanasikitikia sana kucheleweshwa, ni kula kitimoto.hawatashinda kitu gani wakati uislam unapukutika kama majani ya kiangazi. Kila kona unapukutishwa kwa amani tu kwa kuingiziwa tamaduni za magharibi. Unajaziwa vitu vizuri kama chambo umalizwe
Ni waislam lakini athari ya kimaslahi kwa baadhi ya viongozi wa nchi za kiislamu kuvutwa na siasa za magharibi ili waislam wafuate mila zao lakin hawatafanikiwaUnapigwa vita na nani kwani misri sio waislamu
Sasa kwa nini imespark debate?Hawqajakatawa kuvaa wameambiwa shule wasiingi hivyo, sasa si unampa kazi Mwalimu kujuwa huyu nani yule nani. Fikiri kidogo.
wasiwe na wasiwasi muda utafika watakula kitimoto tani yao na watawafuga sana tu. Wapelekewe mashindano makubwa ya kimataifa huko kama kombe la dunia, olimpiki, mieleka, mbio za magari, tenisi na mengine mengi ya kuwachanganya wautupilie mbali uislam wao. Watabaki na uislam wa wastani na mwisho wanakuwa kama wamagharibi tuKuna majamaa fulani wa kiarabu huko Dubai wakati tunapiga story wakakubaliana kuwa kati ya vitu wanasikitika sana kuchelewwshwa ni kula kitimoto.
Kwa hili la missri na hijab tunasema baadhi ya viongozi wa kiislamu wanavutwa ni maslahi ya kimagharibi ili waislamu wafuate mila za kiyahudi na manasara lakini hawatafanikiwaNani akupige vita ndugu hilo taifa 90% ni Islam 10% waliobaki ndiyo wanagawana hizo 10% zilizobaki unadhani waliokataa ni dini gani hapo?
Wewe na dini yako zaidi ya kuzidi kuifanya akili yako ishindwe kuwaza vyema unadhani una nini cha kuwatisha watu duniani hapa?hivi tu taifa lako maskini wewe mwenyewe maskini linauzwa kwa mafungu na dada yenu mmeshindwa kutoa tamko la maana zaidi mnakenua tu meno as long as anayenunua ndiye aliyewapa dini mtaweza kufanya kipi dunia hii hata mumtishe mtu?
Hovyo tu.
Uislamu ni dini sahihi kutoka M/Mungu na yeye Mungu ameahidi kuulindaPoleni kwa kupigwa vita waislam.
Sasa kwa nini imespark debate?