Israel anataka wafukuza wapalestina waondoke katika nchi yao ndo mana anaharibu mpaka wa misri ili wapalestina waondoke na wakiondoka hataki warudi.Duuh. Jamaa hawataki Mpalestina hata mmoja akatize kuingia Misri
Hata pale Misri si ni kama kwao, ni kwa ndugu zao wa kitabu na imaan. Inabidi Misri ifungue mpaka iwapokee na kuwahifadhi na dhiki inayowaandama.Israel anataka wafukuza wapalestina waondoke katika nchi yao ndo mana anaharibu mpaka wa misri ili wapalestina waondoke na wakiondoka hataki warudi.
Namna ya kumsaidia ndugu wa kitabu na imani ziko nyingi.Njia nzuri sio kuruhusu anyang'anywe alichonacho na wewe umbebe nyumbani kwako.Hata pale Misri si ni kama kwao, ni kwa ndugu zao wa kitabu na imaan. Inabidi Misri ifungue mpaka iwapokee na kuwahifadhi na dhiki inayowaandama.
Tatizo miaka ya nyuma, Jordan, Lebanon, Syria, misri zilikubali kupokea wakimbizi wa kipalestina. Baada ya vita Israel ikawazuia hao wapalestina wasiludi ktk nchi zao na mpaka leo wapaledtina wanaishi katika nchi hizo kama wakimbizi.Duuh. Jamaa hawataki Mpalestina hata mmoja akatize kuingia Misri
Kwa hiyo unakiri kwamba bila kujali jinsia, umri, wala afya, wapalestina wote ni wapambanaji na hivyo wanatakiwa kuendelea kubaki uwanja wa mapambano kupambana na Israel? Sasa mbona Israel ikawafyeka huwa mnasema inafyeka wanawake watoto, wazee na wagonjwa?Namna ya kumsaidia ndugu wa kitabu na imani ziko nyingi.Njia nzuri sio kuruhusu anyang'anywe alichonacho na wewe umbebe nyumbani kwako.
Ni bora umsaidie kupambana na jambazi na abaki hapo alipo.
Na wewe unataka japo njama zimeshajulikana lakini bado hizo njama zisizuiwe badala yake apewe Israel anachokitaka.Hiyo sio akili nzuri.Kwa hiyo unakiri kwamba bila kujali jinsia, umri, wala afya, wapalestina wote ni wapambanaji na hivyo wanatakiwa kuendelea kubaki uwanja wa mapambano kupambana na Israel? Sasa mbona Israel ikawafyeka huwa mnasema inafyeka wanawake watoto, wazee na wagonjwa?
Kwa kauli yako hapa umeshakiri kwamba Israel yupo sawa sababu kila mpalestina ni ni mpiganaji.
Kingine Misri kamwe hawezi kupoteza resources zake kwenda kukabiliana na Israel, pale ameenda kudhibiti Wapalestina wasiingie upande wake na mpaka anasogeza majeshi Sinai ujue tayari wameshakubaliana na Usrael sababu hana mamlaka ya kusogeza majeshi Sinai bila kuwasiliana kwanza.
Na wewe unataka japo njama zimeshajulikana lakini bado hizo njama zisizuiwe badala yake apewe Israel anachokitaka.Hiyo sio akili nzuri.
Wapalestina ndio wote ni wapambanaji lakini wasio na silaha.Sasa unahalalisha kwa sababu ni wapambanaji wauliwe tu hata kama sheria za kivita za kimataifa zitakiukwa.
Duuh. Jamaa hawataki Mpalestina hata mmoja akatize kuingia Misri
Hata sisi hatutaki sababu wana sehemu yaoDuuh. Jamaa hawataki Mpalestina hata mmoja akatize kuingia Misri
Wapalestina hafai kuishi nao mkuu;Duuh. Jamaa hawataki Mpalestina hata mmoja akatize kuingia Misri
Acha uongo na kuwa na aibu. Toa ushaidi wa madai yakoWapalestina hafai kuishi nao mkuu;
1. Walikwenda Lebanon huko walikuja kuopindua serikali na kuanzisha jeshi lao (Hizbollah)
2. Walikwenda Jordan baada ya muda waliazisha jeshi vita ilikuwa kubwa hadi Jordan iliomba msaada wa Israel kuwamaliza!
3. Walikimbilia Misri kaskazini na baadae walianzisha vita dhidi ya Misri kwa muda sana! hawafai hawa watu!
Ni hataree weka mbali na watoto!
Nenda Kawasaidie sasa kuliko kuning'iniza kaynday hapo kibarazani baada ya kuvimbiwa na tende.Namna ya kumsaidia ndugu wa kitabu na imani ziko nyingi.Njia nzuri sio kuruhusu anyang'anywe alichonacho na wewe umbebe nyumbani kwako.
Ni bora umsaidie kupambana na jambazi na abaki hapo alipo.
Ushahidi bibi yako wa kambo anao.Acha uongo na kuwa na aibu. Toa ushaidi wa madai yako
Dogo nenda kaoshe sufuria na kupika.Nenda Kawasaidie sasa kuliko kuning'iniza kaynday hapo kibarazani baada ya kuvimbiwa na tende.
Sahihi wapalestina waliohojiwa wakasema hakuna Kwa kukimbilia Tena Misri imefunga mpaka wanaomba tu Allah awasaidie Kwa Hilo eneo la Raffah pamoja na Misri kujenga ukuta wenye nyaya za umeme kuzuia wapalestina kwenda Misri pia wameweka wanajeshi kuzunguka huo ukuta kuhakikisha hakuna mpalestina anavuka mpaka kuingia Misri Hilo Jeshi sio Kwa ajili ya kupigana na Israel ni kuzuia wapalestina wasivuke mpaka kwenda kwaoDuuh. Jamaa hawataki Mpalestina hata mmoja akatize kuingia Misri
Semenya tuliaDogo nenda kaoshe sufuria na kupika.
Vibibi vya kizungu vina njaa vitakutandika bakora.