Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Ni kuzuia wakimbizi wa kipalestina wasiingie Misri. Egypt hataki kusikia kitu kinaitwa Hamas nchini kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo lao popote Hamas wanapenda Huwa ni kutaka kuanzisha Dola ya kiislamu ya ule uislamu wa Siasa Kali ndio maana Nchi nyingi za kiarabu hawawataki Hata Iran yenyewe huwaunga mkono na kuwatumia tu kama fimbo ya kuipiga Israel Lakini hawataki na hawana mpango wa kupokea wakimbizi Toka Palestina hawataki kabisaWapalestina hafai kuishi nao mkuu;
1. Walikwenda Lebanon huko walikuja kuopindua serikali na kuanzisha jeshi lao (Hizbollah)
2. Walikwenda Jordan baada ya muda waliazisha jeshi vita ilikuwa kubwa hadi Jordan iliomba msaada wa Israel kuwamaliza!
3. Walikimbilia Misri kaskazini na baadae walianzisha vita dhidi ya Misri kwa muda sana! hawafai hawa watu!
Ni hataree weka mbali na watoto!
Mmisri alishasema hataki waingie kwakeHata pale Misri si ni kama kwao, ni kwa ndugu zao wa kitabu na imaan. Inabidi Misri ifungue mpaka iwapokee na kuwahifadhi na dhiki inayowaandama.
Sheria za kimataifa za kivita zimeruhusu kuvizia,ugaidi(mbinu za allah)?uvae mabomu huku umevaa hijab na kujilipua mbele za makundi ya watu halafu ukilipizwa eti umeonewa!Na wewe unataka japo njama zimeshajulikana lakini bado hizo njama zisizuiwe badala yake apewe Israel anachokitaka.Hiyo sio akili nzuri.
Wapalestina ndio wote ni wapambanaji lakini wasio na silaha.Sasa unahalalisha kwa sababu ni wapambanaji wauliwe tu hata kama sheria za kivita za kimataifa zitakiukwa.
Wapalestina hawana silaha? mwongo mkubwa wewe October 7 walipovamia Israel kuua na kuteka waisrael walikuwa hawana silaha ?Wapalestina ndio wote ni wapambanaji lakini wasio na silaha.Sasa unahalalisha kwa sababu ni wapambanaji wauliwe tu hata kama sheria za kivita za kimataifa zitakiukwa.
Hiyo pia haina neno.Hakuna kuondoka GazaSahihi wapalestina waliohojiwa wakasema hakuna Kwa kukimbilia Tena Misri imefunga mpaka wanaomba tu Allah awasaidie Kwa Hilo eneo la Raffah pamoja na Misri kujenga ukuta wenye nyaya za umeme kuzuia wapalestina kwenda Misri pia wameweka wanajeshi kuzunguka huo ukuta kuhakikisha hakuna mpalestina anavuka mpaka kuingia Misri Hilo Jeshi sio Kwa ajili ya kupigana na Israel ni kuzuia wapalestina wasivuke mpaka kwenda kwao
Wanaogopa Hamas wasiingie Misri wakiwa wamevaa hijabu wanaume nk
Hakuna nchi ina Israel wao mayahudi ndio watahama kwenye ardhi ya PalestineIsrael anataka wafukuza wapalestina waondoke katika nchi yao ndo mana anaharibu mpaka wa misri ili wapalestina waondoke na wakiondoka hataki warudi.
Kama ambavyo Americant inaogopa hamas wasije vuka mpaka kule Mexico wakiwa wamevaa hijab [emoji3191]Sahihi wapalestina waliohojiwa wakasema hakuna Kwa kukimbilia Tena Misri imefunga mpaka wanaomba tu Allah awasaidie Kwa Hilo eneo la Raffah pamoja na Misri kujenga ukuta wenye nyaya za umeme kuzuia wapalestina kwenda Misri pia wameweka wanajeshi kuzunguka huo ukuta kuhakikisha hakuna mpalestina anavuka mpaka kuingia Misri Hilo Jeshi sio Kwa ajili ya kupigana na Israel ni kuzuia wapalestina wasivuke mpaka kwenda kwao
Wanaogopa Hamas wasiingie Misri wakiwa wamevaa hijabu wanaume nk
Kama ambavyo Americant inaogopa hamas wasije vuka mpaka kule MexicoNi kuzuia wakimbizi wa kipalestina wasiingie Misri. Egypt hataki kusikia kitu kinaitwa Hamas nchini kwake.
Mkishapewa baraka hua mnaropoka sana hii inathibitisha baraka zimekukolea hongereni sanaaaaaaaaHapo anachotafuta Misri ni kuwazuia wapalestina wasiweze kuingia nchini mwao tu na wala sio porojo za masjid ubwabwa kwamba wanataka kupigana na Israel kwani Misri hana ubavu wa kupigana na Israel na ndio maana alisain mkataba wa Camp David mwaka 1979.
Sheria za papa si zimeruhusu kubarikiwa vipi ushabarikiwa?Sheria za kimataifa za kivita zimeruhusu kuvizia,ugaidi(mbinu za allah)?uvae mabomu huku umevaa hijab na kujilipua mbele za makundi ya watu halafu ukilipizwa eti umeonewa!
Kuna timu mbili hapo.Moja inazuia na ingine inashambulia.Elewa ustaadh.Kimya kingi kina mshindo. Hatimae nchi ya Misri imeamua kuongeza askari wake maeneo ya mpaka wa Rafah na lango la Karem Shalom.
Uamuzi huo umekuja baada ya maonyo ya awali na kufuatia taarifa ya jeshi la Israel kwamba liko mbioni kupeleka askari wa miguu eneo la Rafah walipojikushanya wapalestina zaidi ya milioni 1 waliokimbizwa kutoka maeneo mengine ya jimbo la Gaza.
Kazi za mwanzo za jeshi la Misri itakuwa ni kuziba matundu ya kuta na seng'enge ambayo yalisababishwa na Israel miezi miwili iliyopita iliposhambulia sehemu hiyo kutokea angani.
Shambulio hili lililobomoa sehemu za makuta hayo lililfanyika wakati Israel ilipokuwa ikishinikiza kuwasukuma wapalestina waingie nchini Misri.
View attachment 2902257
View attachment 2902258
Egypt reinforces security presence along Gaza border
Ustaadhi haelewi huyoKuna timu mbili hapo.Moja inazuia na ingine inashambulia.Elewa ustaadh.