Misri yapeleka Jeshi mpakani kukabiliana na uchokozi wa Israel

Ni kuzuia wakimbizi wa kipalestina wasiingie Misri. Egypt hataki kusikia kitu kinaitwa Hamas nchini kwake.
 
Lengo lao popote Hamas wanapenda Huwa ni kutaka kuanzisha Dola ya kiislamu ya ule uislamu wa Siasa Kali ndio maana Nchi nyingi za kiarabu hawawataki Hata Iran yenyewe huwaunga mkono na kuwatumia tu kama fimbo ya kuipiga Israel Lakini hawataki na hawana mpango wa kupokea wakimbizi Toka Palestina hawataki kabisa
 
Hapo anachotafuta Misri ni kuwazuia wapalestina wasiweze kuingia nchini mwao tu na wala sio porojo za masjid ubwabwa kwamba wanataka kupigana na Israel kwani Misri hana ubavu wa kupigana na Israel na ndio maana alisain mkataba wa Camp David mwaka 1979.
 
Sheria za kimataifa za kivita zimeruhusu kuvizia,ugaidi(mbinu za allah)?uvae mabomu huku umevaa hijab na kujilipua mbele za makundi ya watu halafu ukilipizwa eti umeonewa!
 
Wapalestina ndio wote ni wapambanaji lakini wasio na silaha.Sasa unahalalisha kwa sababu ni wapambanaji wauliwe tu hata kama sheria za kivita za kimataifa zitakiukwa.
Wapalestina hawana silaha? mwongo mkubwa wewe October 7 walipovamia Israel kuua na kuteka waisrael walikuwa hawana silaha ?
 
Hiyo pia haina neno.Hakuna kuondoka Gaza
 
Israel anataka wafukuza wapalestina waondoke katika nchi yao ndo mana anaharibu mpaka wa misri ili wapalestina waondoke na wakiondoka hataki warudi.
Hakuna nchi ina Israel wao mayahudi ndio watahama kwenye ardhi ya Palestine
 
Kama ambavyo Americant inaogopa hamas wasije vuka mpaka kule Mexico wakiwa wamevaa hijab [emoji3191]
 
Mkishapewa baraka hua mnaropoka sana hii inathibitisha baraka zimekukolea hongereni sanaaaaaaaa
 
Sheria za kimataifa za kivita zimeruhusu kuvizia,ugaidi(mbinu za allah)?uvae mabomu huku umevaa hijab na kujilipua mbele za makundi ya watu halafu ukilipizwa eti umeonewa!
Sheria za papa si zimeruhusu kubarikiwa vipi ushabarikiwa?
 
Kuna timu mbili hapo.Moja inazuia na ingine inashambulia.Elewa ustaadh.
 
Kuna wakati nawaona Egypt na Israeli kama wale jamaa niliwaonaga tiktok. Wanaanzisha liugomvi na mmoja anatoa panga ili kumkata mwenzake. Na huyu wa pili anatoa muwa uliokuwa umefichwa na mwenye panga anakata muwa na wanaondoka wakila muwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…