Misri yaruhusu wageni watumie mpaka wake kuitiroka Palestina, ila imezuia Wapalestina wasithubutu

Misri yaruhusu wageni watumie mpaka wake kuitiroka Palestina, ila imezuia Wapalestina wasithubutu

Chanzo cha migogoro mingi nchi za waarabu sababu ni hao Palestine people huko nyuma nchi nyingi zilipokuwa zinawaruhusu au kuwapa hifadhi wanageuka na kuanzisha/kushawishi vikundi vinavyopinga serikali hizo..mfano Lebanon imevurugwa na hao wahamiaji na nchi nyingi tu..

Kingine hamas this tyme amelikoroga wameanzisha mashambulizi huku hawakuwa na defense mechanism nzuri na hiyo opportunity Israel ameitumia vizuri sana leo hii serikali zote duniani zipo upande wa Israel.

Misimamo mikali ya makundi km hamas ni hatari sana.

Kwakweli inatia huruma sana maan wanao athirika ni wanawake na watoto.
 
Wapalestina watulie tu hao magaidi wa Hamas wateketezwe kisha waendelee na maisha mapya hapo Gaza chini ya utawala wa Israel na ndipo watakuwa na usalama zaidi.
 
Back
Top Bottom