Misri yatoa sababu za kilemavu kwa misaada kutokufika Gaza

Misri yatoa sababu za kilemavu kwa misaada kutokufika Gaza

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
1698559752189.png


Waziri wa mambo ya nje wa Misri amesema vikwazo vya Israel ikiwwemo upekuzi ndicho kinachopelekea kutokuingia misaada Gaza kama inavyotakiwa. kupitia kituo cha Rafah
Katika malalamiko yake amesema malori lazima yapekuliwe katika kituo kinachoitwa Israel Nitzana ambacho kiko ndani ya Misri.Baada ya hapo malori hayo huchukua safari ya kilomita 100 ndipo yafike kituo cha Rafah ambako tena kuna askari wa Israel upande wa pili.
Imeelezwa kituo hicho cha Rafah wala hakikupakana na Israel bali kimepakana na Gaza.
Kabla ya vita kituo hicho cha Rafah hupita malori 500 kwa siku ya mahitaji mbali mbali ya Gaza,Kwa sasa ni malori baina ya 10 na 20 tu yanayopita kwa siku.

Egypt says 'Israeli obstacles' impeding aid delivery to Gaza

1698559517763.png
 
Very good. Israel wasipofanya hivyo hao magaidi watatumia huo mwanya kuingiza silaha.
Halafu kumbe anafanya hivyo kwa kutumia mgongo wa ndugu wa Gaza.Si ujinga huo.
 
Ujinga ni mzigo mzito
 
Ujinga ni ugonjwa tena ni mzigo mzito pole sana
Hawa wanaowatetea ndugu zao mayahudi aise wajichanganye wakawasaidie, yani hapo sitaangalia cha mtanzania mwenzangu wala nini, ni mwendo wa kuwalipua tu
 
Back
Top Bottom