Miss Capricon

Miss Capricon

Miaka 50 unaenda kusoma chuo ufanye nn sasa?!....bora ufuge kuku tu
Kuna watu walimeshajiwekea kuwa life achievement zao ni pamoja na kuwa na degree, nilikuta na mama mmoja wa ki-Ghana alipata Master's ya pili akiwa 60.
 
Degree ya kwanza alipata akiwa na miaka mingapi?!
 
Interestingly aliipata 1976 na aliolewa na kuzaa baadae mume alim frustrate watoto wakiwa kwenye teen age aliamua kutafuta kitu cha occupy mind yake akaamua kufanya masters. Baadae aliona kuna opportunity kama ataongea course hiyo ambapo nilikutana nae.
 
Huyu mwingine ndiyo story yake ni amazing flani hivi, yeye alikuwa anafanya kazi kama clerk, alikuja kupata BA Hons in Business Adminstration akiwa 55 na madeni kibao, sasa kupata kazi ilikuwa shida sana. Lakini alikuwa na faraja kila akirudi nyumbani na kuangalia ila graduation photo.
 
Degree ya kwnza ukifanya in your 20's ndio utarnjoy maisha la sivyo utakuja kusoma kwa tabu vibomu kibao

Ukishakuwa na familia mambo ya masomo yanakuwaga mtihani sana
 
Hahahaha mambo ya kuingia class mpk mwalimu anakwamkia
 
Degree ya kwnza ukifanya in your 20's ndio utarnjoy maisha la sivyo utakuja kusoma kwa tabu vibomu kibao

Ukishakuwa na familia mambo ya masomo yanakuwaga mtihani sana
I know one of my friends was a distinction person, lakini alipokuwa anafanya 2nd masters na majukumu ya familia, alikuwa ananiambia akipata pass anashukuru imepita.
 
Watu wazima nw wanasoma ili wapate vyeo ofisini wengi walikuwa wamejisahau
Basically for the majority is to secure a better pension deal, kujisahau na kusomesha watoto kwanza angalau wakishapata first degree mama nae anarudi shule.
 
Kuna baba mmoja tulikuwa tunafanya na kazi sasa akawa anataka kusoma masters akawa ananiambia namm nkasome alipokuja kujua mm ninayo tayari alikuwa mpole sn
 
Yah for, achievement of the young people is a challenge to them or can turn to envious.
 
How old are you dear, if I may ask? Forgive my ungentlyman behaviour never ask a lady her age.My birthday is a few days away. I will be 91, we can go places dear. Happy birthday dear.
 
Back
Top Bottom