Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari sky? Ngoja ni preach!. Ni kweli kabisa watu waliozaliwa january huwa bora/best kwenye mambo mengi sana. Mfano anapoanza darasa la kwanza ataanza na watu waliozaliwa mwaka mmoja january to december. Sasa yeye wa january anakuwa kampita wa december miezi 11 lampita wa june miezi 5. Hapo hata ukuaji wa ubongo, kwenye michezo au talents anakuwa amempita sana na anakuwa na advantage ya kuchaguliwa na kupata nafasi. Utakuta talents nyingi zinazoibuliwa mashuleni wengi huwa wamezaliwa january. Amen.Yes it's January again
Ni kweli mkuuHabari sky? Ngoja ni preach!. Ni kweli kabisa watu waliozaliwa january huwa bora/best kwenye mambo mengi sana. Mfano anapoanza darasa la kwanza ataanza na watu waliozaliwa mwaka mmoja january to december. Sasa yeye wa january anakuwa kampita wa december miezi 11 lampita wa june miezi 5. Hapo hata ukuaji wa ubongo, kwenye michezo au talents anakuwa amempita sana na anakuwa na advantage ya kuchaguliwa na kupata nafasi. Utakuta talents nyingi zinazoibuliwa mashuleni wengi huwa wamezaliwa january. Amen.
Capricon ipi au ni hiyo ya hapo marangu Arisi hiyo ya Teete