Elimu haina uzee.Miaka 50 unaenda kusoma chuo ufanye nn sasa?!....bora ufuge kuku tu
Uzee upo angalia hata entry za vyuo utajua umri unaangaliwaElimu haina uzee.
Degree ya kwanza alipata akiwa na miaka mingapi?!Kuna watu walimeshajiwekea kuwa life achievement zao ni pamoja na kuwa na degree, nilikuta na mama mmoja wa ki-Ghana alipata Master's ya pili akiwa 60.
Interestingly aliipata 1976 na aliolewa na kuzaa baadae mume alim frustrate watoto wakiwa kwenye teen age aliamua kutafuta kitu cha occupy mind yake akaamua kufanya masters. Baadae aliona kuna opportunity kama ataongea course hiyo ambapo nilikutana nae.Degree ya kwanza alipata akiwa na miaka mingapi?!
Huyu mwingine ndiyo story yake ni amazing flani hivi, yeye alikuwa anafanya kazi kama clerk, alikuja kupata BA Hons in Business Adminstration akiwa 55 na madeni kibao, sasa kupata kazi ilikuwa shida sana. Lakini alikuwa na faraja kila akirudi nyumbani na kuangalia ila graduation photo.Degree ya kwanza alipata akiwa na miaka mingapi?!
Degree ya kwnza ukifanya in your 20's ndio utarnjoy maisha la sivyo utakuja kusoma kwa tabu vibomu kibaoInterestingly aliipata 1976 na aliolewa na kuzaa baadae mume alim frustrate watoto wakiwa kwenye teen age aliamua kutafuta kitu cha occupy mind yake akaamua kufanya masters. Baadae aliona kuna opportunity kama ataongea course hiyo ambapo nilikutana nae.
Hahahaha mambo ya kuingia class mpk mwalimu anakwamkiaHuyu mwingine ndiyo story yake ni amazing flani hivi, yeye alikuwa anafanya kazi kama clerk, alikuja kupata BA Hons in Business Adminstration akiwa 55 na madeni kibao, sasa kupata kazi ilikuwa shida sana. Lakini alikuwa na faraja kila akirudi nyumbani na kuangalia ila graduation photo.
I know one of my friends was a distinction person, lakini alipokuwa anafanya 2nd masters na majukumu ya familia, alikuwa ananiambia akipata pass anashukuru imepita.Degree ya kwnza ukifanya in your 20's ndio utarnjoy maisha la sivyo utakuja kusoma kwa tabu vibomu kibao
Ukishakuwa na familia mambo ya masomo yanakuwaga mtihani sana
Watu wazima nw wanasoma ili wapate vyeo ofisini wengi walikuwa wamejisahauNo siku hizi watu wazima wanaosoma ni wengi, kufundishwa na watoto tumezoea, inabidi ujiheshimu ili uheshimiwe.
Basically for the majority is to secure a better pension deal, kujisahau na kusomesha watoto kwanza angalau wakishapata first degree mama nae anarudi shule.Watu wazima nw wanasoma ili wapate vyeo ofisini wengi walikuwa wamejisahau
Kuna baba mmoja tulikuwa tunafanya na kazi sasa akawa anataka kusoma masters akawa ananiambia namm nkasome alipokuja kujua mm ninayo tayari alikuwa mpole snBasically for the majority is to secure a better pension deal, kujisahau na kusomesha watoto kwanza angalau wakishapata first degree mama nae anarudi shule.
Yah for, achievement of the young people is a challenge to them or can turn to envious.Kuna baba mmoja tulikuwa tunafanya na kazi sasa akawa anataka kusoma masters akawa ananiambia namm nkasome alipokuja kujua mm ninayo tayari alikuwa mpole sn
We jst av to respect themYah to some, achievement of the young people is a challenge to them or can turn to envious.