Miss Capricon

Yes it's January again
Habari sky? Ngoja ni preach!. Ni kweli kabisa watu waliozaliwa january huwa bora/best kwenye mambo mengi sana. Mfano anapoanza darasa la kwanza ataanza na watu waliozaliwa mwaka mmoja january to december. Sasa yeye wa january anakuwa kampita wa december miezi 11 lampita wa june miezi 5. Hapo hata ukuaji wa ubongo, kwenye michezo au talents anakuwa amempita sana na anakuwa na advantage ya kuchaguliwa na kupata nafasi. Utakuta talents nyingi zinazoibuliwa mashuleni wengi huwa wamezaliwa january. Amen.
 
Ni kweli mkuu
 
Dah... Kesho n+1 [emoji87]
Wana kwamtogore tunasubiri mdundiko[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…