MISS CC:Madad wapigana kugomania kutajwa...

MISS CC:Madad wapigana kugomania kutajwa...

Aliyevaa kigauni ana shape nzuri
 
heheheee kazi ninayo! nina wifi anagombea naye sasa nisipompa nahofia 'gubu la wifi' nsijevurugwa mie....si unajua mawifi
cc Heaven on earth

wii wangu mie nimejitoa sa hivi....ngoja niwaachie hao vimwana wapiganie hilo taji........

ningekuako usingenichagua wii pangekuwa hapatoshi kabisaaaaa
 
Back
Top Bottom