Miss chaga

Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa

Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu

@Nb/ kama uko na strees pita kulee
ushawahi onana nae manake umesema unamkubali kwa urembo wake
 
Na nimkali kweli si mchezo... We ongea na mimi vizuri nikupe namba yake tu
Mimi namtaka yeye sitaki no yake. wewe kama unaweza kumnipa yeye fanya hivyo. no nnayo mpka ya Ummy Mwalim naishia kumpigia na kumsalimiya tu na kumtakia kazi njema wakati mie sio mpiga kura wake
 
Mimi namtaka yeye sitaki no yake. wewe kama unaweza kumnipa yeye fanya hivyo. no nnayo mpka ya Ummy Mwalim naishia kumpigia na kumsalimiya tu na kumtakia kazi njema wakati mie sio mpiga kura wake
Sasa utampataje yeye bila namba yake?
 
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa

Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu

@Nb/ kama uko na strees pita kulee

Urembo wake umeuona wapi mkuu? 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…