Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,547
ushawahi onana nae manake umesema unamkubali kwa urembo wakeHeshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu
@Nb/ kama uko na strees pita kulee