Miss chaga

Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa

Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu

@Nb/ kama uko na strees pita kulee
[emoji121]
MKUU,
WEKA PICHA,

KISHA NI_PM NAMBA YAKO.
 
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa

Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu

@Nb/ kama uko na strees pita kulee
[emoji121] [emoji121]
WAKUU,
HUYU NDIYE MWENYEWE,

AMEAMUA KUJA NA ID INGINE KWA AJILI YA MATANGAZO MUBASHARA YA AINA HII!

HILI TANGAZO LILIPIWE VAT KABISA HILI!
 
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa

Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu

@Nb/ kama uko na strees pita kulee
Hii sio biashara kweli? Utawala huu inabidi kuwa wabunifu kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…