[emoji121]Ukome kabisa Dada wa watu hayupo hivyo mbulula wewe
nifanyeje sasa, ila nakataa hiyo nyota aisee , najua kuna atayejitokeza kunipenda.Hahaha una nyota ya kunguni
sasa wewe ulikuwa unamsifia kwa kisa gani kama hayupo sokoni?Anauzwa kwani?
hahahaSifa na utukufu kwa Mungu aliyemuumba Miss chaga
jje's mumie nakupenda hadi naumwa yaninipende na mie kidogo naomba napenda kupendwa
akikupa namba yake ulete mrejesho tujue jinsia yake[emoji121]
MKUU,
NI_PM NAMBA YAKO FASTA TUONGEE MIPANGO ENDELEVU!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]