thanks much Joanah, yaan this is a testimony cause nimemwomba Mungu and within a second amekutuma uje unambie.jje's mumie nakupenda hadi naumwa yani
Bure kabisaa [emoji179]
khe picha tena mbona unataka kuniumbua acha banamiss chagga njoo utupiamo hata kapicha basi mama.
Hata Mimi naku love
hata mimi namulavu hata kabla ya kapicha.miss chagga njoo utupiamo hata kapicha basi mama.
Hata Mimi naku love
Jamani nakulove ...tupiamo bhana hata pmkhe picha tena mbona unataka kuniumbua acha bana
haya nasubiria uweke kipengele muhimu cha pesaSikiliza miss chagga hao wote waongo.... Hawakupendi ila wanakytaman ulivyo mzuuri...
Mm peke angu ndo nna mahaba !! Tena yale ya mahaba nigalagaze, niburuze buruze nichunike, ninyonge ninyongeke,
Hapa kwangu utafurhi mwenyeeewe
Kweli wiii eeh. Ila Mimi lazma atupiamo kapichahata mimi namulavu hata kabla ya kapicha.
oteee maeJamani nakulove ...tupiamo bhana hata pm
Lekaaa bhanaa.oteee mae
wii bhana acha kuwa Tomaso. mpendage tu hivyohivyo. unajua comments za mutu zinaonyesha u cute wake.Kweli wiii eeh. Ila Mimi lazma atupiamo kapicha
otee otee ngalyewaLekaaa bhanaa.
Njikuone kitutuuu
Ndugu yangu nakushukuru kwa kujali maslahi yangu. Huu sasa ndio undugu wa kweli.mbona humjibu ndugu yangu Asprin unajua jinsi gani anakupenda?
Ni cute ndio Wii ilaa atupiamo bhanaa. Mbona mtoa mada anamjuaaa.wii bhana acha kuwa Tomaso. mpendage tu hivyohivyo. unajua comments za mutu zinaonyesha u cute wake.
so mie najua she is so cute even upstairs smart.
Lyewa tusu ma inyi ngikeri na iyo. Chaaaa kitewe lanyeotee otee ngalyewa
hizi habari za kukutana mitaani halafu kuja kutangaza humu ni batili mtangaze na wababa mnaokutana nao kwenye maguest houseHeshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu
@Nb/ kama uko na strees pita kulee
yap mbona ni sawa hizo sifa? ana deserve zote au unasemaje?Ni cute ndio Wii ilaa atupiamo bhanaa. Mbona mtoa mada anamjuaaa.
Si unaona anavyomsifia
Ruwa mangi nakuwoniotee otee ngalyewa
lyeka tupu angeione chaRuwa mangi nakuwoni