Unaona sasa!mimi huyu hata kwa bure simtaki i wish ningejua yuko vipi kiumbo tu!!ha hahahha
ha ha ha ha umeanzaUnaona sasa!mimi huyu hata kwa bure simtaki i wish ningejua yuko vipi kiumbo tu!!
Naaaaamhaya nasubiria uweke kipengele muhimu cha pesa
Nitafurah si nimeshasema napenda kupendwa?Unaonaje nikikupendaa.
je wewe unapenda kupenda au wataka kupendwa wewe tuNitafurah si nimeshasema napenda kupendwa?
Nitafurah si nimeshasema napenda kupendwa?
SanteeeNdo tayari nshakupenda mama![emoji39]
Napendaje wewe unapenda kupenda au wataka kupendwa wewe tu
Nipende basi na mimi ili nami nikupendeNapenda
Kiruuu... Hapo sasa.... Ni pm maana we si miss chagga...haya nasubiria uweke kipengele muhimu cha pesa
Santeee
ha ahha haya nakujaKiruuu... Hapo sasa.... Ni pm maana we si miss chagga...
Mi jina la ubatizo ni Mr.chagga
Ole wako uende maana nakuonaha ahha haya nakuja
Haki ya mam..!! Uje nikupeleke rombo,,, upate hata mbege kidogoha ahha haya nakuja
mmh sifa zingine hizi .. ilimradi uwongee tuHeshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu
@Nb/ kama uko na strees pita kulee
Usifanye hivyo bhanaAlafu shida yangu ni moja tu! Nikipenda nakua kama nimelogwaa! [emoji56]