Miss chaga

Miss chaga

nakupenda pia umukagame wapotezee wakikusema
Nakupenda sana my dear
Sema tu unanikera kwa kitu kimoja tu niliwahi kwambia tukutane chobisi hukutokea
Nimekubembeleza wee hata kukukabidhi walet yangu lakini bado hunielewi
Kwa mala ya mwisho nakwambia i love u
Ka salarie ka mwezi huu licha ya makato yake ya saccos nitakuachia ukachukue kote pls my dear................
NAKUPENDA SANA miss chagga
 
Umesema unampenda mpaka unajisikia kuumwa sasa hii sentensi unadhani haina utata kweli. Au unataka kutuchezea akili hapa?

hiyo tunaita unaongeza chumvi ,huu msemo upo common sana kwa watu wengi,, yani anampenda kupitilizaa, upendo wake haua maelezoo

*halafu jinsia flan hivi hupenda kutumia vimisemo kama hivi visivyo kuwa formality..*
 
Ana sauti nzuriiiii na anajikubali na kiflat screen chake

Lakin mi nampendaga tu hivyohivyo.
 
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa

Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu

@Nb/ kama uko na strees pita kulee
Usoni kweli anavutia. Lakini tatizo hana chura hata kidogo. Na miguu ni fito.
 
hiyo tunaita unaongeza chumvi ,huu msemo upo common sana kwa watu wengi,, yani anampenda kupitilizaa, upendo wake haua maelezoo

*halafu jinsia flan hivi hupenda kutumia vimisemo kama hivi visivyo kuwa formality..*


Basi sawa mkuu Pr cure
 
Back
Top Bottom