Miss chaga

Miss chaga

Hata mimi nimekumiss sana shem!.....Tokea ulipoachana na STUNTER nikapata taarifa kuwa una mpango wa kuja kwangu nimekuwa nikikusubiri sana ila hola,hujatokea bado!! 🙂
nimeachana na nani? naomba uniombe msamaha tena kwa maandishi.

mtakaa sana mie na hubby wangu hatutokaa tuachane.
 
nifanyeje sasa, ila nakataa hiyo nyota aisee , najua kuna atayejitokeza kunipenda.

Nimejifunza pia kupitia kwako,kwamba sio kila unachoomba waweza pata kwa mwanadamu but kwa Mungu ukiomba chochote kwa neno lake kupitia jina la Yesu hakika unapata in a minute/second.

Sema amen
 
Back
Top Bottom